technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,563
- 57,888
Leo nilipita chuo kimoja mjini kumpitia mdogo wangu twende Kilimanjaro kula sikukuu.
Wakati nimepaki viunga vya chuo akaja na wenzake Kama watatu hivi kumbe walikuwa wanamalizia ku discuss naswali ya fulani hivi
Nikaanza kuwasikiliza kwa makini wakibishana nikakumbuka kabisa hii mada nilisoma wakati nipo form five kwenye pure mathematics.
Nikasogea kujilidhisha nikaona ndio yenyewe Sasa nikaanza kujiuliza inakuwaje mtoto wa chuo kikuu anasoma nadharia hivi
Hawa watoto wanaweza kusolve problem za maisha kweli kwa kusoma hivi degree?
Huyu mtu anaweza kuuza vitu online, digital marketing?, anaweza kutengeneza website, anaweza kutengeneza app anaweza kutengeneza Gari, umeme wa magari, CCTV,
Wakuu mdogo wangu huyu wa kike namuonea huruma Sana
Hii ndio elimu kweli chuo kikuu unasolve thamani ya X?
Halafu Samia, Nchimbi Mwigulu mnajisifu kuzika billion 500+ kwenye mikopo huu sio upotevu wa pesa.?
Serikali aheni kupotezea watoto muda