elimu ya chuo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Elimu ya chuo bado ni njia bora ya mafanikio kwa vijana?

    Katika dunia ya sasa vijana wengi wanatafuta njia mbalimbali za kujenga maisha yao, baadhi wanaamini kuwa elimu ya chuo kikuu au vyuo vya kati ndiyo msingi muhimu wa kupata ajira na maisha bora. Wakati wengine wanaona kuwa ujuzi wa vitendo, biashara na teknolojia vinaweza kumpa kijana nafasi...
  2. technically

    JamiiForums Tanzania Elimu ya chuo kikuu TANZANIA ni mfu?

    Leo nilipita chuo kimoja mjini kumpitia mdogo wangu twende Kilimanjaro kula sikukuu. Wakati nimepaki viunga vya chuo akaja na wenzake Kama watatu hivi kumbe walikuwa wanamalizia ku discuss naswali ya fulani hivi Nikaanza kuwasikiliza kwa makini wakibishana nikakumbuka kabisa hii mada nilisoma...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Elimu ya chuo imekaa kipigaji sana, masomo mengi unayosoma hayana msaada kazini.

    Nikiangalia Transcript yangu iliyojaa lundo la masomo niliyosoma nikilinganisha na kazi nayofanya, naona masomo mengi yalikuwa hayana umuhimu wowote ule. Ni masomo machache sana utayoyatumia practically kazini. masomo mengi ilibidi yawe kwenye kozi nyingine ila yamerundikwa ilimradi tu, masomo...
  4. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa vyuo waliodhalilishana wameudhihirishia umma kuwa elimu ya VETA ni muhimu kuliko elimu ya Chuo Kikuu.

    Ukweli mchungu! Umalaya, ushoga, usagaji, na uhuni umekuwa kipaumbele kikubwa kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kuliko elimu iliyowapeleka huko. Wengi wanahitimu shahada zao na GPA kubwa za kwenye makaratasi kuliko kilichopo kichwani mwao - kwasababu ya rushwa za ngono na pesa. Wakirudi majumbani...
  5. CalvinKevoo

    JamiiForums Tanzania Wasomi ni watu walio sitarabika

    WASOMI ni watu walio sitarabika WASOMI awa andiki andiki upuuzi Mkono wa mjinga unaandika popote pale ndo walivo wasomi wa bongo mumekosa kazi basi kazi kuwa kucoment ujinga ujinga tu kwenye thead za watu wewe Kama unaona mtu kaandika ujinga wake soma Maliza pita kushoto muache aliye andika...
  6. Kubwa la Maadui

    JamiiForums Tanzania Nikikopa milioni 6 riba ya kulipa hilo deni kwa mwaka mmoja itakuaje? Nia yangu kwenda kusoma Masters nje

    Nia yangu kubwa ni kwenda kusoma MASTERS nje kwa njia yeyote ile ambayo haihusishi matumizi ya njia haramu yoyote, Sasa nimeongea na wazazi wamekubali kuweka nyumba dhamana nipate mkopo bank wa milioni 6 kama kigezo moja wapo kupata VISA ya kuingia baadhi ya nchi kama umepata partial...
  7. Mwafrika Halisia

    JamiiForums Tanzania Niende kusoma digrii au diploma?

    Habari za muda wanaJF, Mimi ni kijana nimemaliza form six mwaka huu 2024, matokeo yangu kiufupi yalikua kama ufuatavyo. Chemistry - E Bio - E Geography - D BAM - E G.S - D Sema kweli matokeo yangu hayakua mazuri kwa ujumla. Bila kusita nilifanya application za vyuo kwa level mbili zote...
  8. that manzi

    JamiiForums Tanzania Inawezekana mtu kuhama chuo (campus) uliyopangiwa?

    Wakuu habarini za jioni, poleni na hekaheka na mihangaiko ya siku.. Samahani naomba wajuzi mniambie je inawezekana kwa mtu aliechaguliwa chuo mfano amechaguliwa TIA campus ya Dar es salaam akataka kuhamia TIA campus ya mbeya? na kama inawezekana anatakiwa kufuata utaratibu upi?
  9. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Mwambie mdogo wako anayekwenda Chuo, sisi pia tulienda tukapata degree

    1. Mwambie anaenda kusomea taaluma sio kazi. Anaweza kusoma uhasibu akawa dobi. 2. Mwambie Kufaulu Taaluma sio Kufaulu maisha. 3. Mwambie Kupata alama nyingi sio kujua mambo mengi. 4. Mwambie akifika chuo atakutana na watu wa mikoa tofauti na hata majiji. Ila akumbuke anatokea Mtwara, tena...
Back
Top Bottom