Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Mkuu no.4. ITV na Star Tv zinapatikana ndani ya king'amuzi cha Azam. Au sijakuelewa vizuri?
Angalia na mada/ comment ilipostiwa lini mkuu,tarehe 10February 2014.
mwanzo hizo channel hazikuwepo ndio maana akasema hivyo.
 
Hivi wakuu upande wa other chaneli , chaneli za kwese zinaonesha kwenu ?
 
Najibu namba 4...
ITV na star TV zote zipo kwenye king'amuzi cha Azam...
Pia Azam TV wanaonesha mechi za ligi ya Hispania channel ya Azam sports HD..
 
Angalia wbs imenunuliwa na kwese kwa hiyo utaona epl kupitia hapo
Mkuu nilikuwa nazungumzia
Kwese info.
Kwese movies 2.
Kwese kids.
Kwese movies 1.
Kwese movies 3.
Kwese stories.
Kwese know.
Ambazo zote zinapatikana OTHER TV CHANNELS lakini kwangu mimi huku hazioneshi kitu zote hizo.
 
Sijaingia huu uzi kitambo, kuna chennels zimeongezeka? Ni fta au pay tv hizi kwese??
 
fasion Tv inapatikana kwenye other channels ni noma aisee... Frequency 12603 symbol 30000 polar H

pia utapata na channel ya Dieu tv
 
salaam wakuu,,,, leo nimewasha king'amuzi changu cha Azam kika update OTA ila chaa ajabu channels zote ambazo ziko upande wa other channels hazioneshi hata moja,,, msaada tafadhali
 
salaam wakuu,,,, leo nimewasha king'amuzi changu cha Azam kika update OTA ila chaa ajabu channels zote ambazo ziko upande wa other channels hazioneshi hata moja,,, msaada tafadhali
Hapa nasubiri jawabu pia maana hao kwese ni wengi halafu hakuna kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…