the locksman
JF-Expert Member
- May 5, 2012
- 1,106
- 357
Kwa wale mulio aribikiwa rimoti
Za kisambuzi cha Azam ...
Unaweza tumia cha Startimes vinaingiliana
Na bei yake 8000/- kwa mawakala
kbc ili uipate siku hizi lazima uipate satelite iitwayo yahsat ambayo ni ngumu sana kupatikana maana beam yake ipo mbali sana. kama upo interested na kbs tafuta dish zaidi ya ft12 tofauti na hapo hutaipata kwa ft6
Mkuu ni kweli kabisa remote ya startimes inafanya kazi vizuri kabisa kwenye azam tv, na kwangu ilikua imeharibika ulivoandika hapa nikaenda kujaribu na naitumia.
sasa hapo jirani na906 watakuwa sat ipi. nipeni hizo freq nijaribu kuwatafutaPia kbc unaweza pata ukiwa na mpeg4 au hd katika angle za jirani na intelsat 906
epl sahau... startv utapata ila inategemea na size ya dish yako.
Ninalo dishi la kawaida la Azam je, nitaipataje startv? bila kuathiri Chanel zingine zilizopo?
sasa unapo niwekea mashart eti bila kuathiri chanel zilizopo nashindwa nianze wapi kukusaidi.. kwanini umataka kulazimisha kitu ambacho hata wewe kukifanya haukiwezi.? setting io hata kama wewe utaiweza. ungesema uitaji startv ningekusaidia lakini unapoweka limit ya ufundi binafsi siwezi kufan ilo ulitakalo.
Naona kuna channels zimeongezwa Azam Tv, mimi huku naiona MBC Plus power na VIASAT NATURE, lkn hiyo ya kwanza ACCESS DENIED
Shukran sana wadau! Naenjoy Afcon through Azam TV wakati wengine wanshangaashangaa vibanda umiza mie nipo sebuleni na remote mkononi. Ph-25 shikamoo!