Jamani Mi nilikuwa napata Chanel zote za muvitv nikafuta baada ya kuwa Chanel nyingi kutokuwa zinaonesha. Niliingiza upya zimegoma kurudi. Naombeni msaada wenu.
.Mkuu, kwa hiyo siku hizi haya maujanja hayakubali?
Ni king'amuzi gani kizuri zaidi kwa sasa? In terms of channel nyingi na nzuri, socer included. Na pia ina local channels zote kubwa. Gharama za vifurushi nafuu, na pia uwezo wa kuongeza sattelite za kuchakachua
tatizo lipo kwenye kuaadd satelite kwani lazima kuna vitu vya kuseti kama LNB Freq 9750- 10600.Disceqc - 1.2,LNB Power - auto, 22k - auto, switch port - port 1, Toneburst - 1, Location - east, Longitude 7 . Then ndo unaadd hizo frequency tulizo kupa kwenye hizo satellite mpya let say inaitwa abcd: Labda utupe maelezo ulivyofanya mpaka zikakataa tujuwe ili tuykusaidie
muvi combo na wenzake
12728H 30000
12520H 27000
mkuu josephjul40 nitawezaje kupata frequency za channel za LTVGE na CRT kupitia kin'gamuzi cha Azam Tv?
1.Azam TV decoder inatumia pia HDMI cable pia ingawa hakuna hata Channel moja ya HD, ila channel zao zina qaulity nzuri kuliko decoder nyingine za Bongo. Wafanyakazi wa Azam TV ukiwauliza mna HD watakujibu ndio ingawa hakuna nadhani hii ni kwa sababu hawajui maana ya HD. Pia channel zao hazigandigandi kama Startimes na wengine.
2. Azam 1 na Azam 2 ndio channel zinazoonyesha VPL mechi mbili kwa pamoja. HAta mechi zinazochezwa mikoani zinaonyeshwa kulingana na uzito wake. Hii ndio kitu inayowafanya watu wengi waipende.
3. Azam TV inaonekana nchi zote kusini mwa jangwa la Sahara. Hii kitu itawafanya wauze sana hasa kwa watanzania wanoishi nchi hizo.
4. Azam TV haina ITV na Star TV. Bado kuna kubaniana na akina Mengi labda na wao wanataka wapewe hizo za Azam 1 & 2 channels kwenye decoder zao.
5. Kwa ujumla Azam TV itauza sana kwa sababu ya kutumia satellite na pia ina channel karibu zote za Kenya na Uganda hivyo watanzania, wakenya na waganda popote walipo kusini mwa sahara wataitaka tuu.
1.Azam TV decoder inatumia pia HDMI cable pia ingawa hakuna hata Channel moja ya HD, ila channel zao zina qaulity nzuri kuliko decoder nyingine za Bongo. Wafanyakazi wa Azam TV ukiwauliza mna HD watakujibu ndio ingawa hakuna nadhani hii ni kwa sababu hawajui maana ya HD. Pia channel zao hazigandigandi kama Startimes na wengine.
2. Azam 1 na Azam 2 ndio channel zinazoonyesha VPL mechi mbili kwa pamoja. HAta mechi zinazochezwa mikoani zinaonyeshwa kulingana na uzito wake. Hii ndio kitu inayowafanya watu wengi waipende.
3. Azam TV inaonekana nchi zote kusini mwa jangwa la Sahara. Hii kitu itawafanya wauze sana hasa kwa watanzania wanoishi nchi hizo.
4. Azam TV haina ITV na Star TV. Bado kuna kubaniana na akina Mengi labda na wao wanataka wapewe hizo za Azam 1 & 2 channels kwenye decoder zao.
5. Kwa ujumla Azam TV itauza sana kwa sababu ya kutumia satellite na pia ina channel karibu zote za Kenya na Uganda hivyo watanzania, wakenya na waganda popote walipo kusini mwa sahara wataitaka tuu.
tatizo lipo kwenye kuaadd satelite kwani lazima kuna vitu vya kuseti kama LNB Freq 9750- 10600.Disceqc - 1.2,LNB Power - auto, 22k - auto, switch port - port 1, Toneburst - 1, Location - east, Longitude 7 . Then ndo unaadd hizo frequency tulizo kupa kwenye hizo satellite mpya let say inaitwa abcd: Labda utupe maelezo ulivyofanya mpaka zikakataa tujuwe ili tuykusaidie
Hapo kwenye longitude 7, nashindwa na badala yake naweka 7.0, and yet sipati ht chn 1, msaada
Natumia dish la f6 na receiver ya mediacom MFT 930PLUS nimefunga ku chin ya cband naomba msaada kupata frequency za KBC1 na nyinginezo pls