Wadau wote kwa pamoja embu tupeane elimu ya nin una fahamu kuhusu azam tv.. Binafsi natoa freequence hapa na matumiz yake karibuni wote.
naomba kuuliza maana aliyeweka thread hata sijamuelewa.
hiyo Azam tv inaonyesha (VPL) vodacom premier league tuu au na nyingine za nje kama EPL? ipo kama supersports ama? kwa anaejua plz
Wadau wote kwa pamoja embu tupeane elimu ya nin una fahamu kuhusu azam tv.. Binafsi natoa freequence hapa na matumiz yake karibuni wote.
duu yaani kuanglia vpl.tu? hapana ana haja ya kuboresha tuweze kuangalia zote vpl na epl ili tuweze kumuungisha..hizo frequency si zitakua zinauzwa ama?azam tv hawaonesh epl,ila kuna frequence ambazo unaweza kutumia ukaona epl.
1.Azam TV decoder inatumia pia HDMI cable pia ingawa hakuna hata Channel moja ya HD, ila zina qaulity nzuri kuliko decoder nyingine za Bongo. Wafanyakazi wa Azam TV ukiwauliza mna HD watakujibu ndio ingawa hakuna. Pia channel zao hazigandigandi kama Startimes na wengine.
2. Azam 1 na Azam 2 ndio channel zinazoonyesha VPL mechi mbili kwa pamoja. HAta mechi zinazochezwa mikoani zinaonyeshwa kulingana na uzito wake. Hii ndio kitu inayowafanya watu wengi waipende.
3. Azam TV inaonekana nchi zote kusini mwa jangwa la Sahara. Hii kitu itawafanya wauze sana hasa kwa watanzania wanoishi nchi hizo.
4. Azam TV haina ITV na Star TV. Bado kuna kubaniana na akina Mengi labda na wao wanataka wapewe hizo za Azam 1 & 2 channels kwenye decoder zao.
5. Kwa ujumla Azam TV itauza sana kwa sababu ya kutumia satellite na pia ina channel karibu zote za Kenya na Uganda hivyo watanzania, wakenya na waganda popote walipo kusini mwa sahara wataitaka tuu.
Hivi dish la Azam TV ni la futi ngapi mkuu?Wadau wote kwa pamoja embu tupeane elimu ya nin una fahamu kuhusu azam tv.. Binafsi natoa freequence hapa na matumiz yake karibuni wote.
UPDATE...
................................
Kama una dish la azam umelifunga na linafanya kazi vizuri,chomoa io decoda ya azam tv,chomeka receiver ya FTA{kama unatumia madish haya ya futi 6 na unaipata itv na nduguze} edit io sat ya intel 906 kwa kawaida inakuaga ya kumi na sita,alafu chagua io inayo fata ambayo ni ya 20, kisha tumbukiza frequence hizi.
12728h,30000 simborate utapata free chanel bureee.
Wadau kama zoezi la hapo juu limeeleweka,ingiza frequence hizi ambapo baadhi ya chanel wanaonesha epl live.
11190h/v,1032 utapata chanel kibao.
tumia dish la azam kupata FTA,ila usitumie decoda ya azam tumia receiver za madish makubwa.
tumia dish la azam kupata FTA,ila usitumie decoda ya azam tumia receiver za madish makubwa.