Elimu ya anga, Sayansi na Teknolojia

Elimu ya anga, Sayansi na Teknolojia

According to Newton law of gravity inasema " object kubwa na yenye mass kubwa huzungukwa na object ndogo huko kwenye spacetime "

Kwa kuchukulia kanuni hiyo ni lazima Jua lizungukwe kwasababu lenyewe ndio limechukuwa mass kubwa katika mfumo wa jua
Mzee soma kidogo uje na vitu relevant. Soma cosmology, hapa unatuuzia chai tu. Sidhani kama umesoma hata physics ya A level.

Usilinganishe science na hadithi za akina Shigongo za "Rais anataka mke wangu"
 
JE DUNIA HUZUNGUKA JUA AU JUA HUZUNGUKA DUNIA ?

Kuhani mmoja aliuliza swali hili na kutaka kupata ukweli ila yeye alionekana akiwa na ukweli wake moyoni na kichwani mwake kwamba anahitaji kujua kuwa dunia huzunguka Jua au Jua huzunguka dunia ila yeye anaamini Jua huzunguka dunia 🤔

Naomba nimjibu Jibu hili unajua watu wengi wapo katika kuamini kuwa Sayari dunia ni moja ikiwa na Jua , Mwezi na Nyota ni mapambo ya anga la ulimwengu bila kujijua kuwa wanasahau kwamba kuna sayari kama Mercury Venus , Saturn , Jupiter , Mars nk kwamba zote hizo zipo kwenye umiliki wa nyota Jua

Anasema kama Jua halizunguki na dunia ndio inazunguka kwanini tunaona kila siku Jua linatokea mashariki na kuzamia magharibi na kwanini wanasema sunrise na sunset ?

Embu nikujibu kaka kuna Evolution na Rotation na inabidi ukumbuke dunia inafanya vitu vyote hivyo kwamba inafanga rotation ambayo ni kila baada ya masaa 24 na pia evolution ni kila baada ya siku 365 , dunia hujizungusha kutokea kushoto na kuendelea kulia kwahiyo kwakuw dunia inajizungusha kwahiyo ni dhairi lazima watu kwenye eneo fulani waweze kuliona lile tukio likiwa linabadilika badilika ni hivi kama sisi tupo tanzania kumbuka dunia inazunguka kwahiyo kama tulikuwa tanzania tupo kwenye mawio tutapita mchana na hatimaye tutaenda kwenye machweo

Na kadri tunavyoenda kwenye machweo ile taswira ya Jua huwa inatukimbia ila kwasisi tuliokuwa dunia huwa tunaona Jua ndio linatukimbia sisi

Jua linazunguka linafanya rotation na linafanya revolution pia ila sio kama vile watu wanavyofikiri labda nimsaidie Jua hufanya rotation kwa siku 35 inafanya hivi kwakuwa ni nature ya ulimwengu hakuna kitu kilicho stationary ni lazima vizunguke tu ila kwa sayari zetu hakuna tukio lolote tunalolipata kwa kujizungusha

Na pia tufahamu Jua linajizungusha huku likiwa pale pale ila likifanya revolution hufanya revolution na sayari zake zote yaani huondoka likiwa limebeba sayari na magimba madogo madogo yote

Nikampa mfano mwenginr kumwambie mwezi ndion unaizunguka dunia ndio maana unauona hauna static orbit kwamba mwezi huu ukipita hapa na mwezi ujao utapita hapa hapa hapana mwezi huwa unabadilika badilika katika orbit

Anasema Jua linaizunguka dunia mimi nikamuuliza vipi kuhusu saturn na mars na Jupiter zenyewe huzungukwa na Jua kwa muda upi wakati Jua likiwa linazunguka dunia

Akasema kama dunia ingekuwa inazunguka Jua basi sehemu kubwa ya dunia ingepata mwanga wa Jua na hata usiku ungekuwa ni kwa sehemu ndogo tu ?

Unajua watu wengi wanaisi kuwa Jua lipo Juu yetu wakichukulia vile tunavyoliona bila ya kujua kuwa wanadamu ni sawa na sisimizi aliyeku Juu ya mpira tu ambaye anaamini vyovyote alivyo yeye yuko sawa

Iko hivi hakuna kilicho juu wala chini kwenye space tupo sawa na Jua na sayari zote ziko sawa na Jua ki uwiano wa usawa tunaona kama Jua lipo Juu yetu kwasababu gadi upate surface ya dunia inabidi upite kwenye matabaka mengi sana ya hewa yaani yale yaliyoizunguka dunia ndio uje kuona surface na ukichukulia na udogo wetu basi tunapata kuliona Jua likiwa Juu mbali sana

Mimi nilivyoelewa watu wengi bado wapo katika enzi za kina Galileo kipindi kile warumi walivyoamini Dunia ni moja huku Jua , Mwezi na Nyota ni kama mapambo yake

Wenye Hoja au la kuongezea ni Ruksa
 
BOEING STARLINER IMEFANIKIWA KUUNGANA NA KITUO CHA ANGA ZA JUU ISS
Chombo Cha Boeing Starliner hatimaye kimefanikiwa kuungana na kituo Cha anga za Juu kabisa iss ambapo chombo hicho kilienda huko kwa ajili ya kufanya Majaribio ya kwanza kabisa kwa kampuni ya Boeing na wanachama wake katika harakati za kuhakikisha wanafanikiwa katika ufanyaji safari zile zinazobeba binadamu kwenda kwenye kituo Cha anga na kwengineko
Chombo hicho kitakaa huko kwa muda wa week 2 ambapo kitaendelea na Majaribio yake ya kurudi Tena duniani na kutua katika bahari huko Mexico mpya
Chombo kilitumia mfumo wa Autonomously Rendezvous ( yaani mfumo wa kikomputer wa automatic ) katika kuungana na kituo hicho Cha anga za mbali iss
#SpaceNews #spacecraft #InternationalSpaceStation #boeingstarliner #spacetravel #spacexlaunch
 
Hivi mpaka leo binadamu hajafanikiwa kutua kwenye sayari yoyote??

Na je kuna matumaini ya kufikia solar system nyingine ama galaxy nyingine eidha kwa rocket au binadamu kufika kabisa physically!??
 

AirForce Life

Sooepdnstr341mf771iu8c55ua4t71ml5m98i4h7lf10mig1tc9319h3524m ·

✈️
Top 10 Terrifying Facts About Airplanes That’ll Shake Even the Bravest Flyers
What you don’t know might just rattle your tray table...
Flying is statistically safe—but behind the scenes, the world of aviation hides some chilling truths. Here are 10 terrifying facts that most people never hear about, but every curious mind should know. Buckle up!
---
1.
💀
The “Coffin Corner” Exists
At high altitudes, jets operate between two speed limits: one too slow to generate lift, and one too fast to cause structural failure. This narrow window is called the Coffin Corner—get too close to either edge, and the aircraft can stall or break apart in mid-air.
---
2.
⚡
Lightning Strikes Planes All the Time
Planes are struck by lightning every 3,000 flight hours on average—some once or twice a year. While modern aircraft are designed to survive, a powerful enough bolt could fry electronics or even ignite fuel vapors if systems fail.
---
3.
⏱️
You Only Have 15–20 Seconds to Put on an Oxygen Mask
If cabin pressure drops at cruising altitude (35,000 ft), you have less than 20 seconds of useful consciousness before hypoxia kicks in. Those oxygen masks? They’re not connected to giant tanks, but tiny chemical generators—good for only about 12–20 minutes.
---
4.
🧊
Ice Can Break an Aircraft Apart
Supercooled water droplets at high altitudes can freeze instantly on wings, disrupting airflow. In severe cases, ice can weigh down or even rip pieces off the aircraft—even today, icing remains a major factor in fatal crashes.
---
5.
🧠
Spatial Disorientation Can Kill Pilots Instantly
In clouds or darkness, the human brain can't tell up from down without instruments. Many experienced pilots have unknowingly flown their planes into the ground—believing they were climbing—due to vertigo and sensory illusions.
---
6.
💺
Your Seat Is Only Rated for 16G—But Crashes Can Exceed That
Aircraft seats are tested for up to 16 times the force of gravity. But in a high-speed crash or vertical impact, forces can be far higher—meaning survivability drops rapidly in violent scenarios.
---
7.
✋
Bird Strikes Are Way Deadlier Than You Think
A 15-pound goose hitting a jet engine at 250 knots carries the force of a cannonball. Bird strikes can destroy engines, shatter windshields, and cause dual-engine failure—as happened in the “Miracle on the Hudson.”
---
8.
🧯
Cabin Fires Can Be Catastrophic in 90 Seconds
If a fire starts onboard at cruising altitude, it can engulf the cabin in smoke within 2 minutes. Toxic fumes are the real killer—several air disasters began with a small spark and a deadly delay in response.
---
9.
⚙️
Human Error Still Causes 70–80% of Crashes
Despite autopilot and advanced computers, the majority of aviation accidents come down to miscommunication, fatigue, or decision-making errors—reminding us that pilots are still human.
---
10.
🚪
Some Doors Can Actually Be Blown Open—Under Rare Conditions
Though it’s near-impossible to open a door mid-flight due to pressurization, explosive decompression or structural failure can blow a door off. When that happens, unsecured passengers and seats can be sucked out instantly.
---
Bonus Scare:
✉️
Black Boxes Aren’t Always Found
Not every crash ends with a clear answer. Despite satellite tech, some black boxes vanish in deep oceans or rugged terrain, leaving families without closure for years—or forever.
---
So… still feeling safe in the sky?
Truth is, flying remains one of the safest ways to travel. But respecting the risks is part of what makes aviation so incredible. Behind every smooth flight is an orchestra of science, engineering, and human judgment.
Fly safe. Stay curious.
#AviationFacts #AirplaneMysteries #FlightSafety #FearOfFlying #AviationLovers #PilotLife #DarkSideOfFlying
✈️
⚠️




1744097457197.jpeg
 
Back
Top Bottom