Elimu ni Ufunguo Wa Maisha.............. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Elimu ni Ufunguo Wa Maisha..............

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Jun 19, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  Elimu ni kitu Muhimu sana.........

  [​IMG]
   
 2. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,291
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Umenikumbusaha mbaali sana, kuna jirani mmoja alikuwa anachelewa kurudi nyumbani kuwakwepa watoto wake aliowapeleka english medium...
   
 3. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #3
  Jun 19, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,473
  Likes Received: 4,749
  Trophy Points: 280
  ...kaingia choo chetu cha kike.......Mzizi salama? jamiiimenizingua sana.....Elimu ni ufunguo tu na wala SI MLANGO WA MAIISHA
   
 4. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #4
  Jun 19, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  Nani tena huyo kaingia choo cha kike hahahahah . Amavubi? Ze Morning time?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #5
  Jun 19, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,473
  Likes Received: 4,749
  Trophy Points: 280
  wahenga wanasema iga ufe
   
 6. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #6
  Jun 19, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  Ni kweli iga ufe nalog off mkuu. Amavubi Viatu vina kufuli hivyo?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #7
  Jun 19, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuwaweza watoto wa siku hizi na inglishi yao piga kilugha.. kama ile ya " Mbonyi shafoo clemeeee?"
   
 8. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #8
  Jun 19, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Mbona wengine tuna hizo mifunguo muda mrefu na hazifungui?
   
 9. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #9
  Jun 19, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280

  Nimeipenda hii
  Mbonyi shafoo Clemeeee
  hapo mtoto haambui kitu
  Sasa MziziMkavu mbona hizi funguo zinakataa kufungua makufuli ya maisha bora
   
 10. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #10
  Jun 19, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,100
  Likes Received: 1,424
  Trophy Points: 280
  Ziangalie vizuri isije kuwa ni feki!...
   
 11. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #11
  Jun 19, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,100
  Likes Received: 1,424
  Trophy Points: 280
  Habari mkuu!
  Teh teh teh, pengine makufuli ya Kichina kwa funguo za Uingereza!...
   
 12. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #12
  Jun 19, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Salama kabisa mkuu
  Umepotea sana aise
  Kweli kabisa aise ni makufuli ya kichina na funguo za kiingereza maana kila ukijaribu kufungua yanakataa
   
 13. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #13
  Jun 19, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Mkuu, nina uhakika za ukweee
   
 14. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #14
  Jun 19, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,100
  Likes Received: 1,424
  Trophy Points: 280
  Funguo za ukweli, vipi kuhusu vitasa? Isije ikawa unatumia
  funguo genuine kufungua vitasa feki! Si unajua maisha ya
  Bongo ujanja ujanja?...
   
 15. LexAid

  LexAid JF-Expert Member

  #15
  Jun 19, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 1,950
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Basi unafungua milango feki!

   
 16. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #16
  Jun 20, 2012
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,642
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  ha ha ha...wajanja walibadilisha vitasa makofuli kitambo sana wakati nyie mnakabidhiwa hizo funguo. Funguo hazihitajiki tena ni kuvunja tuu kofuli na vitasa ili uyapate hayo maisha bora. nyundo na kipande cha nondo ila pia :pray:
   
Loading...