Elimu na Shule

Elimu na Shule

Nimeipenda hii mkuu vijana wazidi kuelimishwa ili waweze kuzikabili changamoto zinazowapata kwa kutumia elimu waliyoipata badala ya kusubiri vyeti vyao walivyovipata shule kutatua changamoto hzo
 
Sister Leila alikuwa mwalimu wa chekechea ya parokia Mkuu.

Wakati huo nikiwa mdogo wazazi wangu walinipeleka chekechea ya parokia.

Ilikuwa ikiongozwa na Sister[mtawa], kila wakati ni sala mara Angelusi, mbele ya makaburi ya mapadre sala, mbele ya kanisa sala......yaani ni kusali kila upande..........Mimi sikuwa napenda mambo ya dini na Mungu hata kidogo kwa sababu ambazo nilikuwa nazo.

Kwahiyo pale chekechea nilipaona pa ajabu sana......wiki haikupita nikapiga chini hadi leo shule huwa nazisikia kwenye wizara ya elimu na sijawahi kujutia maamuzi yangu.
Hukuwa upande wa dini na mungu kwa "sababu ulizokuwa nazo"

Wewe ni mkinga wa iringa?

Ila asante sana kwa mada nzuri
 
Mtu kwenda shule ni kitu kizuri na mtu kupata elimu ni kitu kizuri zaidi ili mtu upate elimu siyo lazima uende shule.
NAOMBA TUSIKILIZANE VIZURI
nakumbuka zamani nilipokuwa mdogo baba aliniambia soma sna ili upate elimu. ukifaulu vizuri utakuwa na maisha mazuri.

Kibao cha shule ya msingi niliyosoma kilikuwa na maneno kuwa ELIMU NI UFUNGUO WA MAISHA. Nakumbuka motto wa shule ya secondary niliyosomea,nakumbuka motto wa chuo kikuu nilichosomea vyote hivi viliniahidi maisha mazuri na mafanikio baada ya kuhitimu masomo yangu.

Nakumbuka hotuba ya baba yangu kwenye mahafali ya sherehe yangu ya shahada ya kwanza alisema mwanangu, wajibu wangu mimi kama mzazi wa maisha bora kwako nimeshautekeleza.

Sasa kazi ni kwako. sikujua kwamba baba na walimu walionifundisha wangeweza kunifundisha makosa makubwa wakati mwingine. kumbe elimu bora niliyofundishwa ilikuwa ni kutafuta kazi badala ya kutafuta pesa na utajiri. hivi umewahi kuona kuwa tajiri ameajiriwa?.

Lakini watu hawa wangewezaje kunifundisha utajiri?. amini nakuambia maskini au mwalimu maskini hawezi kukufundisha utajiri.kamwe labda nikuulize ndugu yangu shule zote ulizoenda umewahi au umeshawahi kufundishwa utajiri au kukutana na walimu matajiri wangapi?.

Ndugu zangu sisemi kwamba elimu ni mbaya, ila elimu bila malengo ni mbaya sana. elimu ni nzuri pale mtu anapopata kwa makusudi maalumu.
elimu bila malengo au kusudi ni kifungo cha fikra.

Ninachomaanisha hapa ni kwamba shuleni walituambia elimu ni ufunguo wa maisha, sawa, ila kuwa na ufunguo bila kujua kitasa kilipo ina nini?
Elimu bora ni ile inayokupa ufunguo cha kukiona kitasa kilipo na siyo kweli kwamba hupatikana shuleni tu.

Nisikilizeni vizuri. Kuna dhana ya elimu na dhana ya shule na ikiwa elimu ni ufunguo wa maisha basi shule ni kitasa......narudia elimu inapatikana shuleni ila elimu bora haipatikani shuleni. Baba yangu aliamini kuwa kufaulu mitihani ya shuleni huu ndio mwanzo wa mafanikio yangu.

Lakini kumbuka wanaosahihisha hii mitihani shuleni huwa wanatummia kitu kinachoitwa marking scheme na endapo ukinyimwa marking scheme wanakuwekea kosa. Halafu ndio haohao wanakuambiia kuwa shuleni kuna taalum, kuna maono yako, akili na upeo wako wa kifikra. kivipi......kwa mfano hivi ninani asiyejua kuwa binadamu wote tuko tofauti?.....kwanini shuleni wanatupima kwa njia moja ya mitihani?..... na ujue kwamba kufaulu mitihani ya shuleni haikuhakikishii wewe kupata mafanikio mazuri ya kimaisha....

Mpaka hivi ninavyoongea na wewe sijawahi katika misha yangu ninayoishi sijawahi kutumia Logarithim, Pythegorus theory, Calculus,General quadriatic equation,na mpaka sasa sijajua hata thamani ya x.

Miaka yote niliyofundishwa kw akingereza mpaka leo kingereza changu ni chakuungaunga tu. Shuleni nilikaririshwa na kufundishwa vitu vingi sana ambavyo sivitumii katika maisha yangu ya kila siku.

SASA NIAMINI MIMI.
pamoja na shule niliyonayo ya shahada ya uzamili ya sayansi ya fedha , mafanikio ya msingi ya maisha yangu ni kilimo cha vitunguu saumu.niliyojifunza ndani ya wiki mbili tu. jamii inayonizunguka inaamini kwamba shule ndiyo kila kitu. Usiamini kila kitu ambacho jamii inakiamini. jifunze kufikiria peke yako na fanya maamuzi mwenyewe. kwa sababu jamii hiyohiyo inaamini kutoa mimba ni mbaya na ndiyo jamii hiyohiyo inayoamini, inashangaa watu kubeba ujauzito kabla ya ndoa.

wako wachungaji wanaohubiri kuhusu kuwasaidia masikini na kumtolea mungu ila wao wanamiliki ndege zao binafsi.....usiamini kila kitu ambacho jamii inakiamin. Elimu ni yale maarifa machache unayohitaji na kuyatumia kwenye maisha yako ya kila siku baada ya miaka yote ya kukaaa darasani.
mfumo wa elimu pamoja na mitaala tuliyonayo humfanya mwanafunzi kutumia muda mwingisana ambavyo haendi kuvitumia katika maisha yake ya kila siku au kumfanya kutumia muda mwingi sana kujifunza vitu vichache sana ambavyo ni muhimu katika maisha yake
.TAFUTA ELIMU USITAFUTE SHULE
.TAFUTA PES USITAFUTE KAZI
.TAFUTA MAARIFA USITAFUTE VYETI
Ndugu yangu tukubaliane kwamba ili binadamu aweze kuishi vizurina kuweza kuya mudu maisha yake , unapaswa kuwa elimu ya kutosha, ujuzi pamoja na ufahamu wa mambo mengi tofauti lakini elimu hiyohiyo au ujuzi huo unapaswa kuwa na uhusianowa moja kwa moja na mazingira ndipo utaweza kufanikiwa

watu wanachanga sana vitu.... kuna tofauti kati ya mtu mwenye elimu na mtu msomi?....yaani unaweza ukawa umesoma sana lakini huna elimu na maarifa ambayo yanaweza yakakufanya ukaishi vizuri. Lakini pia unaweza ukawa hujasoma shule kabisa ila ukawa na elimu na maarifa yakukufanya ukaishi vizuri. Hivyo basi mafanikio ya kimaisha ndiyo kipimo sahihi cha elimu na maarifa aliyonayo mtu.

Hapa ndipo utakapokuta profesa wa chuo kikuuu ana maisha magumu sana kiuchumi kulio mfanyabiashara aliyeishia darasa la saba tu.Mtu mwenye elimu bora ni yule anayejua kitu kutoka kwenye kila kitu na si anayejua kila kitu kwenye kitu.

ninaye rafiki yangu ambaye kwa zaidi ya miaka 5 alisoma na kubobea kwenye udaktari wa meno tu. hivi ukiacha menokwenye maisha kuna mambo mangapi muhimu ya maisha yakujifunza?. lakini cha ajabu ni kwamba huyu bwana kwa zaidi ya miaka miwili anafanya kazi na kulipwa kama meneja wa hospitali. Ni elimu aliyonayo
.TAFUTA ELIMU USITAFUTE SHULE
.TAFUTA PES USITAFUTE KAZI
.TAFUTA MAARIFA USITAFUTE VYETI

naomba nimalizie kwa kumnukuu marcum x yeye alisema " JUST BECAUSE WE HAVE COLLAGES ANA URNIVERSITIS DOES NOT MEAN WE HAVE AN EDUCATION"
mwaka 2002 nilimaliza elimu yangu ya secondary tulihitimu.wanafunzi 97.tuliofaulu tulikuwa 14 wengine wote hawakuwa na vigezo vya kusonga mbele. wakabaki kijijini kutafuta maisha. je hawa watu wangefundisha maarifa ya.kutafutapesa miaka yote 11 si wangekuwa matajiri?
 
elimu ya shule inatumika sana huwez ukawa unaona calculus lakini kwenye simu yako Na computer hvyo vyote vipo.Cha msingi nikujua jinsi ya kutumia maarifa uliyonayo kutatua matatizo.Lakini pia kumbuka CO kla maarifa yanahusiana Na kutatua matatizo Kuna vitu vengine ni abstract kama pure mathematics(cyo hyo ya alevel yaki magumashi) unakutana Na reimaann manifolds Na number theory ingawa inatumika ahata Na website ya jf forums lakini ni pure
 
"elimu bila malengo au kusudi ni kifungo cha fikra"

Nimependa huo msemo,kuna watu elimu huwa zinawanyima Uhuru wa kufikiri kwa kushindwa kufikiri nje ya box na kuwa wapo kwenye kifungo cha fikra.
 
Kuna umuhimu wa kubadilisha mfumo wetu wa elimu kwa maana hautusaidii kitu zaidi ya kujazana ujinga tu
 
Naamini hukuelewa somo ''Elimu ni Ufunguo wa Maisha'' ukisha upata tu huo ufunguo kitasa tafuta mwenyewe! usitafuniwe kila kitu utakuwa zuzu!!!

Elimu yako hiyo ya sayansi ya Fedha ni kubwa mno! ni zaidi ya msaada, kwanza kujua tu nina hiyo Elimu nanenepa tu! no stress! utaitumia vyema kwenye mauzo ya biashara yako ya vitunguu swaumu unavouza! utaonyesha tofauti kubwa hapo kwa kuchezesha hela kuliko mtu ambaye hajaenda shule! tena ni rahisi kutafuta masoko ya nje sababu unajua kucheza na fedha, na Lugha ya kuongea na wenye hela!

UKisha pata mtaji kwa kuwa unajua kucheza na hela unaweza ukawa agent wa wakulima maeneo hayo! je hujaajiliwa na wakulima bila wao kujijua? kushuka na kupanda kwa dola km kweli umesoma ni km unanusa! unaweza fanya chochote ktk ulimwengu wa fedha sababu umeshauza vitunguu una hela! km ni kulima utalima kisasa kwa sababu una uwezo na elimu ya kujua chochote ktk kilimo kirahisi.

Rafiki yako , Dentist huyo aliye ajiliwa hapo km Meneja wa Hospital anaweza uza hiyo huduma yake , akaishi, akatoa ushauri kwa wagonjwa wa meno hata nyumbani kwake tu, au akafungua Clinic ya meno ambapo atafanya kazi ya ziada hapo kwake, baada ya kazi, je? haja pata kipato cha ziada? akipanuka zaidi anaweza tema mzigo.

Tena mko vizuri mmejipanga wewe mpe akili ya financial management, na yeye atalinda afya ya kinywa na meno ya familia yako, ili usiugue ugue si unajua Afya ni mtaji?

Nashangaa elimu nzuurii hii unalia lia tu, Biashara Matangazo wakikujua wewe ni mtu wa fedha watakuita kufanya Auditing kwa wenye Biashara kubwa, hata kijiji kikubwa smartness na uaminifu tu baasi. utakuta mwaka mzima uko busy vitunguu utasahau!

Kuna Daktari kijana alikuwa mwenyekiti wa kijiji kabisaa!! sababu kijijini yeye ndo Boss akachagua sehemu yenye Rutuba akanunua akalima shamba la mahindi mpaka kuvuna, hela alioipata akanunua vifaa na kujenga Hospital ndo ikawa Biashara mpaka leo! anakazi mbili.
 
Km ulimaji wako na maisha unayoishi hujagundua nafasi ya elimu yako bhasi ni tatzo lako na si la wote wenye elimu, assume wote wangeona elimu ya kusoma mpka vyuo vikuu haina umuhimu na waiache nini kingefata??
Hizo mbegu unazopendelea kupanda hybrids zingeandaliwa na std 7???
Hapa unaeleza namna elimu isivyo ya muhimu sana lakn km una mtoto najua unajitahidi kumpeleka shule na unatamani afike mbali kielimu na wala haufurahii akifeli darasani.
Nkwambie kwamba elimu inatafutwa na utajiri unatafutwa ila mwenye elimu ni rahisi kuwa na maisha mazuri kuliko asiekuwa na elimu na ndo maana watu wote wanapambana kuhakikisha familia zao znapata elimu otherwise wasingejisumbua.
Kiuhakika wengi wanailaumu elimu ya Tanzania pasipo kujua kuwa elimu ya tz ni formal km nchi nyingine na yote hayo tunayasoma yanafundishwa nchi za wenzetu, km wote tukiamua kuwa wakulima na wafanya biashara nani atatuwekea umeme kwenye majumba yetu ya kifahari au nani atatutibu km unavyomkejeli rafiki yako huyo dentist??
Elimu ni moja ya mafanikio na utajiri ni moja ya mafanikio pia, tusidanganye umma mm nmefanikiwa kwa kiasi kikubwa kutokana na elimu niliyoipata ukilinganisha na wenzangu walioikataa elimu na kubaki kulima kwao na sasa nahangaika kuhakikisha familia yangu inakuwa na elimu.
Asante.
Umeongea vizuri sana, lakini mtoa mada hakumaanisha watu wasisome, bali jamii iangalie mahitaji ya elimu kulingana na mazingira, mifumo yetu ya elimu ipitiwe upya na mingine ibadilishwe kwenda sambamba na mahitaji ya jamii. Chukulia kwa mfano mtu anataka kuwa Mtabibu (Dr) lakini anasoma na kukaririshwa masomo ambayo hayatamsaidia katika fani yake kwa muda mrefu.
 
Back
Top Bottom