Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,379
Ingia www.adsense.com na kisha jiunge(sign up) kama una email ya zaman kuna chance kubwa yaMkuu tusaidie darsa ya kujiunga na google adsense na.kaz yke zaid
Mkuu tusaidie darsa ya kujiunga na google adsense na.kaz yke zaid
Sawa mkuu....umeelewekaNi muhimu kufahamu ya kuwa kuwa na You tube account sio jambo kubwa au zito sana...ni sawa tu na kumiliki e mail account au namba ya simu na kadhalika.
Waweza kumiliki account hiyo hata kama lengo lako ni kuwa tu una comment kwenye videos za wengine bila hata wewe kuwa na video.
Kubwa na muhimu hapa ni kuhakikisha unazo content zinazo kidhi haja ya kutazamwa, yaani zitavutia watazamaji...na kamwe sio kwamba tu kwa kuwa ume apload video basi Watazamaji watajitokeza..kumbuka video zinakula bundle na hakuna Mtu yupo tayari kupoteza pesa kwa kitu kisichomridhisha.
Kuhusu kulipwa ni kama walivyoeleza wengi hapo juu, hivyo kama utakidhi vigezo vya google utalipwa kutokana na matangazo yatakayotazamwa kupitia video zako...hivyo kimahesabu ni kwamba kadri Watazamaji wanavyokuwa wengi ndivyo na chance za kupata zaidi zinavyoongezeka...mathalani kama una uwezo wa kugonga views 1mil basi wewe 'una ga gaa na upwa na huwezi kula wali mkavu'.
Pia jiulize unapoangalia video you tube ni mara ngapi umekuwa uki click tangazo linalojitokeza pale kwa chini? na mara ngapi umeangalia video nzima ya tangazo bila ku click SKIP? kama hufanyi hivyo basi assume kuna wenzako wengi pia wanafanya kama wewe.
Shukrab mkuuIngia www.adsense.com na kisha jiunge(sign up) kama una email ya zaman kuna chance kubwa ya
Kabla ya yote hakikisha video zote ambazo umewahi kuupload ukizijumuisha zina views 10,000
- Ingia youtune kwa email yako ya gmail
- Juu kulia, minya account yako then minya > Creator Studio.
- Kushoto kwenye acreen nendaChannel > Status and features.
- Kwenye "Monetization," click Enable.
- Fuata maelezo ya kukubali "YouTube Partner Program Terms"
Je mkuu option ya kudownload videos pia inaaingiza ela sawa na kuplay videoNi muhimu kufahamu ya kuwa kuwa na You tube account sio jambo kubwa au zito sana...ni sawa tu na kumiliki e mail account au namba ya simu na kadhalika.
Waweza kumiliki account hiyo hata kama lengo lako ni kuwa tu una comment kwenye videos za wengine bila hata wewe kuwa na video.
Kubwa na muhimu hapa ni kuhakikisha unazo content zinazo kidhi haja ya kutazamwa, yaani zitavutia watazamaji...na kamwe sio kwamba tu kwa kuwa ume apload video basi Watazamaji watajitokeza..kumbuka video zinakula bundle na hakuna Mtu yupo tayari kupoteza pesa kwa kitu kisichomridhisha.
Kuhusu kulipwa ni kama walivyoeleza wengi hapo juu, hivyo kama utakidhi vigezo vya google utalipwa kutokana na matangazo yatakayotazamwa kupitia video zako...hivyo kimahesabu ni kwamba kadri Watazamaji wanavyokuwa wengi ndivyo na chance za kupata zaidi zinavyoongezeka...mathalani kama una uwezo wa kugonga views 1mil basi wewe 'una ga gaa na upwa na huwezi kula wali mkavu'.
Pia jiulize unapoangalia video you tube ni mara ngapi umekuwa uki click tangazo linalojitokeza pale kwa chini? na mara ngapi umeangalia video nzima ya tangazo bila ku click SKIP? kama hufanyi hivyo basi assume kuna wenzako wengi pia wanafanya kama wewe.
acha wizi wewe uki-upload video yoyote youtube ambayo haina copy right na kuomba matangazo unapewa within 18hours... hiyo 15,000 ya nini kama si wizi dogo..Kwa tanzania huwezi lipwa kwa watu kutazama video zako, ila unalipwa kwa watu kubonyeza matangazo yatakayo jitokeza pindi mtu anatazama video ulio Upload, naunganisha ads kwenye youtube kwa Sh 15000 nichek kupitia 0743497079
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] kumbe vitu rahisi hivi.Ingia www.adsense.com na kisha jiunge(sign up) kama una email ya zaman kuna chance kubwa ya
Kabla ya yote hakikisha video zote ambazo umewahi kuupload ukizijumuisha zina views 10,000
- Ingia youtune kwa email yako ya gmail
- Juu kulia, minya account yako then minya > Creator Studio.
- Kushoto kwenye acreen nendaChannel > Status and features.
- Kwenye "Monetization," click Enable.
- Fuata maelezo ya kukubali "YouTube Partner Program Terms"
CcNi muhimu kufahamu ya kuwa kuwa na You tube account sio jambo kubwa au zito sana...ni sawa tu na kumiliki e mail account au namba ya simu na kadhalika.
Waweza kumiliki account hiyo hata kama lengo lako ni kuwa tu una comment kwenye videos za wengine bila hata wewe kuwa na video.
Kubwa na muhimu hapa ni kuhakikisha unazo content zinazo kidhi haja ya kutazamwa, yaani zitavutia watazamaji...na kamwe sio kwamba tu kwa kuwa ume apload video basi Watazamaji watajitokeza..kumbuka video zinakula bundle na hakuna Mtu yupo tayari kupoteza pesa kwa kitu kisichomridhisha.
Kuhusu kulipwa ni kama walivyoeleza wengi hapo juu, hivyo kama utakidhi vigezo vya google utalipwa kutokana na matangazo yatakayotazamwa kupitia video zako...hivyo kimahesabu ni kwamba kadri Watazamaji wanavyokuwa wengi ndivyo na chance za kupata zaidi zinavyoongezeka...mathalani kama una uwezo wa kugonga views 1mil basi wewe 'una ga gaa na upwa na huwezi kula wali mkavu'.
Pia jiulize unapoangalia video you tube ni mara ngapi umekuwa uki click tangazo linalojitokeza pale kwa chini? na mara ngapi umeangalia video nzima ya tangazo bila ku click SKIP? kama hufanyi hivyo basi assume kuna wenzako wengi pia wanafanya kama wewe.
Advantage utakazokuwa nazo kwa views 1mil ni kuwa inawezekana kuna wengi wame click tangazo kwenye video yako....chance ni kwamba kwenye 1mil huwezi kukosa walau watu 50elfu wame click.Views million zinaweza kuleta kiasi gani cha fedha?
Je nitaweaje kupata matangazo ili niweke kwenye video youtube channel yangu?acha wizi wewe uki-upload video yoyote youtube ambayo haina copy right na kuomba matangazo unapewa within 18hours... hiyo 15,000 ya nini kama si wizi dogo..
upload video then omba adsense ni ndani ya masaa 8 (kuna video nyingi youtube zinatoa mwongozo)unapewa matangazo.. ukishundwa ninazo nyingi adsense za youtube naweza kukuuzia kwa bei ya kutupaJe nitaweaje kupata matangazo ili niweke kwenye video youtube channel yangu?
Asante sana mkuu. Na facebook nasikis unaweza kupiga hela pia? How? Nipe maelekezoacha wizi wewe uki-upload video yoyote youtube ambayo haina copy right na kuomba matangazo unapewa within 18hours... hiyo 15,000 ya nini kama si wizi dogo..