Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,379
Hebu acha kudanganya umma ili uwaibie hizo elf 15, Ukiupload video youtube kuna kipimo cha cpm endapo umemonetize video zako, cpm inamaanisha malipo kwa viewers 1000 ambapo kibongobongo hio cpm huwa ni buku mbili jero kwa kila viewers 1000 na mpunga unauchukua kwa urahisi zaidi weatern union.Kwa tanzania huwezi lipwa kwa watu kutazama video zako, ila unalipwa kwa watu kubonyeza matangazo yatakayo jitokeza pindi mtu anatazama video ulio Upload, naunganisha ads kwenye youtube kwa Sh 15000 nichek kupitia 0743497079
Mkuu karibu tena ..utupe darasa huru tena la ilo kuhusu kulipwa kwa views km ulivyo sema cjui cpm karibu mkuu ili tufaidike zaidHebu acha kudanganya umma ili uwaibie hizo elf 15, Ukiupload video youtube kuna kipimo cha cpm endapo umemonetize video zako, cpm inamaanisha malipo kwa viewers 1000 ambapo kibongobongo hio cpm huwa ni buku mbili jero kwa kila viewers 1000 na mpunga unauchukua kwa urahisi zaidi weatern union.
Hapa tupo kusaidiana na sio kufanya ujinga wa watu kutojua kitu fulani kiwe mtaji kwako kwa unayejua kwa kuudanganya umma kwa kujifaidisha na hizo elf 15 zako
Kwel mkuu hii ni fursa sana ..ndomana nmeanzisha uzi huu..ht mm nataka kufika huko so naanza nattafuta darsa kidogoWakuu hii ni moja ya fursa, mimi siyo mwana mziki nataka kubuni video fupi fupi zitakazovutia na kutazamwa na watu wengi bila shaka naweza pata mkwanja pia? Naomba ideas za video hizo?,!!
Mkuu wanalipwa vp na watu wa MATANGAZO ikiwa anaetaka kutazama picha husika ATA-SKIP kipande/vipande vya MATANGAZO....!!?Sio lazima ubofye matangazo, kuna matangazo ya video pia, yale yanayopita kabla hujaanza kutizama video. Yale ndio yanaingza pesa nyingi balaa coz yanaonekana na kwenye simu pia! Yale ya kuclick yanaonekana kwenye pc tu. Na hayana pesa nyingi
Hapana mkuu, CPM sio malipo ya views 1000, ni Cost Per 1000 impressions. Hyo M ni 1000 ya kirumi. 1000 impressions ni matangazo 1000 ambayo yameonekana kwenye video yako.Hebu acha kudanganya umma ili uwaibie hizo elf 15, Ukiupload video youtube kuna kipimo cha cpm endapo umemonetize video zako, cpm inamaanisha malipo kwa viewers 1000 ambapo kibongobongo hio cpm huwa ni buku mbili jero kwa kila viewers 1000 na mpunga unauchukua kwa urahisi zaidi weatern union.
Hapa tupo kusaidiana na sio kufanya ujinga wa watu kutojua kitu fulani kiwe mtaji kwako kwa unayejua kwa kuudanganya umma kwa kujifaidisha na hizo elf 15 zako
Ikitokea ameskip ndo bahati mbaya, lakin kuna matangazo yanayovutia mpaka mtu anatazama lote. Kwa hyo sio kila mtu ataskip tangazo. Mfano, tusema mtangazi anataka kulipa USD 0.1 kwa kila view ya tangazo lake (bila kuwa skipped), video yako imetazamwa na watu 100,000, kati ya hao watu 50,000 ndo wameoneshwa hilo tangazo na watu 1,000 tu ndo wameangalia tangazo in full. Basi kiasi ambacho video yako itaingiza ni 1,000 x USD 0.1 ambayo ni sawa na USD 100. Youtube wanachukua 45% ya revenue. Manake wewe uatabkiwa na USD 55.Mkuu wanalipwa vp na watu wa MATANGAZO ikiwa anaetaka kutazama picha husika ATA-SKIP kipande/vipande vya MATANGAZO....!!?
Huo sio WIZI wa WAZI..!!
Ahsante MKUU kwa kunipa MAARIFA, Ila sina uhakika hivi lile tangazo la mtandao fulani wa simu......lina SLOGAN wanasema "JAZA UJAZWE"Ikitokea ameskip ndo bahati mbaya, lakin kuna matangazo yanayovutia mpaka mtu anatazama lote. Kwa hyo sio kila mtu ataskip tangazo. Mfano, tusema mtangazi anataka kulipa USD 0.1 kwa kila view ya tangazo lake (bila kuwa skipped), video yako imetazamwa na watu 100,000, kati ya hao watu 50,000 ndo wameoneshwa hilo tangazo na watu 1,000 tu ndo wameangalia tangazo in full. Basi kiasi ambacho video yako itaingiza ni 1,000 x USD 0.1 ambayo ni sawa na USD 100. Youtube wanachukua 45% ya revenue. Manake wewe uatabkiwa na USD 55.
Uliza swali lolote ntakujibu?Mkuu karibu tena ..utupe darasa huru tena la ilo kuhusu kulipwa kwa views km ulivyo sema cjui cpm karibu mkuu ili tufaidike zaid
Duh yaani kiongozi unawazo Kama langu.Wakuu hii ni moja ya fursa, mimi siyo mwana mziki nataka kubuni video fupi fupi zitakazovutia na kutazamwa na watu wengi bila shaka naweza pata mkwanja pia? Naomba ideas za video hizo?,!!
Ni kipitia Matangazo ila Kama Amekidhi vigezo anaweza kulipwa kwa Pay Per Views (Ila hii kwa Afrika Mashariki inapatikana Rwanda)Kwaiyo mfano mkuu juz kat diamond .nna wasanii wengi walikuwa wanansema au wanatangaza jinsi wanavyoingiza mkwanja mrefu kupitia youtube ni kupitia matangazo na sio kupitia watu kuviews videos..
wanaingiza kipato na hizo click za matangazo, yaani mtu akibonyeza tu pesa inaingia (ila hapa nazungumzia Tanzania)So wasanii wanaingizaje vipato vyao sasa Mkuu kama kubofya matangazo
Ndio kinacho angaliwa
Mkuu Hilo ni Tangazo la Youtube na Mala nyingi linakuwa la Video (Huwezi kublock), sasa hapo kitendo cha kukaa Sec 5 Unalitazama basi iliye Upload Video ambayo ulitaka kuitama ameingiza pesaNje ya mada kuna tangazo linaitwa Hostgater yaani ni kero kinoma,nalitoaje maana hata hiyo adblock sijui inatumikaje
Yah! Zinaitwa skip ads kama sijakoseaSio lazima ubofye matangazo, kuna matangazo ya video pia, yale yanayopita kabla hujaanza kutizama video. Yale ndio yanaingza pesa nyingi balaa coz yanaonekana na kwenye simu pia! Yale ya kuclick yanaonekana kwenye pc tu. Na hayana pesa nyingi
mtazamaji akiskip ads hutapata hela Ila akitazama tangazo kwa sekunde kadhaa ndo unapata mpungaMkuu wanalipwa vp na watu wa MATANGAZO ikiwa anaetaka kutazama picha husika ATA-SKIP kipande/vipande vya MATANGAZO....!!?
Huo sio WIZI wa WAZI..!!
ku upload video ni simple tu ni wewe na bundle lakoAmani kwenu wadau..
Wadau nahitaji kufahamu au kujua jinsi ya ku upload video youtube yan kuwa na channel au account yng ambayo ntakuwa naweka videos zangu yan kujisajil pia na vigezo vyake vinavyo hitajika iyo mosi.....
Pil..je ni vipi malipo yanalipwa kupitiz kuwa na channel au account yko ambayo utaweka video zako ambazo watu huzitazama ...yan mkwanjwa unaingiaje..ni hyo wadau mwenye kufaham tafadhal tunaomba msaada wa elimu hyo.
Natanguliza shukran..
cc@chief mkwawa na wengne wote ahsantum.
Asante mkuu..nmeipenda hii ndo nilichokuwa nakitafuta..ukipata mda njoo tupe darasa la Juu ha hyo google adsense.ku upload video ni simple tu ni wewe na bundle lako
kuanza kulipwa unabidi ujiunge na huduma ya google adsense,
Good quality content zina attract vistors na kuanza kupata views. Unahitaji kuwa mvumilivu kwani unapoanzisha YouTube Account yako views wanakuwa ni wachache muno inataka time kujitengenezea fan base yako (Subscribers)
Views ndo zinakupatia pesa via monitize ya Google Adsense.
sawa mkuu nikipata muda nitaanda uziAsante mkuu..nmeipenda hii ndo nilichokuwa nakitafuta..ukipata mda njoo tupe darasa la Juu ha hyo google adsense.