Elimu kuhusu uume wa mwanaume

Elimu kuhusu uume wa mwanaume

Naongezea haya
1.Wanaume wenye matege ya nje( kama o) wana mashine ndefu na nyembamba
2.Wanaume wenye vitambi hawa wengi wana vibamia
3. Wanaume wenye vidole vinene hasa dole gumba machine zao ni nene halafu fupi
4. wanaume warefu kila kitu chao ni kirefu
Niishie hapo kesho ntaongezea kwa wenzetu waleeeeee

Kumbe ndo siri wanawake kupenda zaidi wanaume warefu
 
Ubinafsi huo,ananitaka ili afurahi,si kwa sababu amenipenda. Kama yuko viwango,..... Ni vizuri na mimi niridhie
Wanaume watamu mnajuaga kunata,, sio vizuri jamani Mungu hapendi eti
 
porno pictures zinaharibu wanaume kwenye uwanja wa fundi seremala. Hatujiamini,hatuchukui muda kujifunza miili ya wanawake, tunatumia muda mwingi kwenye social media,hatupumziki ya kutosha,tunakula ovyo....
 
Wasaidie basi wenzio jamani hasa hapo kwenye kujiamini eti kaka!

Porn video zimeharibu kabisa saikolojia ya wanaume wengi hasa wenye maumbile madogo wanasahau kuwa zile video hazina uhalisia na wachezaji wako pale kikazi sio kustareheshana.....inasikitisha sana kwakweli badala mpambane kusaka noti mje kutuhonga na kutuburudisha mtu anakomaa na kujipima maumbile kumeza madawa ilhali hiyo ni kazi yetu walaji

Naoma wenye vibamia mbajipa moyo.mwanaume mashine bwana.[emoji123][emoji123][emoji123].kama wataka dawa ya mashine kubwa ukuje pm
 
Dunia inakwenda kasi sana,kama tumepoteza mwelekeo. Technology imechukua nafasi kubwa ktk maisha yetu. Familia inalelewa na series...tamthiliya za nje. Hatuna wazee wa kushauri jamii,mahusiano mengi ni maigizo..hakuna uhalisia. Pesa si jibu. Mabadiliko ya fikra ndo jibu.
 
Tumia mwenyewe hatutaki....maradhi hayo halafu unaenda kinyume na uumbaji wa mwenyezi Mungu!!!
Naoma wenye vibamia mbajipa moyo.mwanaume mashine bwana.[emoji123][emoji123][emoji123].kama wataka dawa ya mashine kubwa ukuje pm
 
Kwani huo uume unachukua muda gani kutoka kwenye hali ya ukibamia hadi kuwa mkuyenge. Mwisho miaka mingapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom