Kasuku Mdogo
Member
- Jun 2, 2016
- 14
- 23
Tatizo LA nguvu za kiume vijijini ni nadra sana labda huko pwani lakini Kanda ya ziwa, Kanda ya Nyanda za juu na Kanda ya Magharibi huko jamaa wameahiba na unakuta mtu anawanawake 4 kila mwanamke anapewa mimba na kuzaa.Katika kilele cha juu kabisa cha furaha katika ndoa, kama inavyojulikana, ni sherehe inayopatikana katika kitendo lenyewe la ndoa. Ingawa, ili furaha hiyo ipatikane ni lazima tendo hilo limefanyika katika hali ya afya kwa wanandoa wote wawili.
Nguvu za kiume ni neno linalotumika mara nyingi kumaanisha ‘uwezoo wa mwanaume kufanya tendo la ndoa’. Na inapokuwa tofauti na hivi, tunaita ni ‘kupungua au kukosa nguvu za kiume’. Kupungukiwa kwa nguvu za kiume hutofautiana toka mtu mmoja hadi mwingine. Inzaweza kuwa ni hali ya kutokuwa na uwezo wa kusimamisha uume, au hali ya kutokuwa na uwezo wa kufika kileleni kwa muda mzuri wa kutosha.
Pamoja na hayo yote, elimu muhimu ambayo mwanaume anatakiwa kuwa nayo, ni kuwa nguvu za kiume hazipatikani kwa kutumia madawa ya kemikali au mahala pengine; bali zinatokana na vyakula tunavyokula kila siku.
Sababu za wanaume kushiwa nguvu za kiume:
Kuishiwa nguvu za kiume ni jambo la kawaida kwa wanaume wengi. Ni kushindwa kwa uume kudumu kusimama barabara kwa ajili ya tendoo la ndoa, au kuwahi kufika kileleni.
Tatizo la kupungukiwa nguvu za kiume huongezeka sababu ya umri. Tafiti mbalimbali zinasema wanaume wa umri kuanzia miaka 61 na kuendelea ndiyo wanapatwa na tatizo hili zaidi kuliko wanaume wenye umri wa miaka 41 kushuka chini.
Wanaume wenye elimu ndogo juu ya utendaji kazi wa mwili na afya ndio wanaokabiliwa sana na tatizo hili. Hii ni kutokana na kwamba wengi wao wanakuwa hawaelewi aina ya vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume na za mwili kwa ujumla, namna wanavyotakiwa kuishi ili kupunguza janga hilo, wanakunywa pombe na hawajishughulishi na mazoezi ya viungo. Mazoezi ya viungo hupunguza tatizo la kuishiwa nguvu za kiume kwa asilimia kubwa sana.
Mbona hata wanawake wengi siku hizi hawana nguvu za kike?Masikini wanaume......
Mjini mwanaume anakula soseji moja na anasema ahsante kwa chakula..... Yesu na MariaTatizo LA nguvu za kiume vijijini ni nadra sana labda huko pwani lakini Kanda ya ziwa, Kanda ya Nyanda za juu na Kanda ya Magharibi huko jamaa wameahiba na unakuta mtu anawanawake 4 kila mwanamke anapewa mimba na kuzaa.
Huko mijini ni shida kwasababu hamtaki kula vyakula vya asili na hamtaki kufanya shughuli za kuupa mwili mazoezi.
Nazo hazisimami au?Mbona hata wanawake wengi siku hizi hawana nguvu za kike?
Tutake radha tafadhali sperm kama tone!![emoji22]Mjini mwanaume anakula soseji moja na anasema ahsante kwa chakula..... Yesu na Maria
Hivi soseji moja mtu anashibaje, au yai walaji wa hivi hata sperm zao huwa ni katone tu utadhani kadondosha chozi kumbe sperm
Mtakosa......Masikini wanaume......
Masikini wanaume......
lisaa limoja nipo juu nikishuka matokeo ni 4 kwa 3Evelyn Jamaa ako anadumu barabarani kwa mda gani?
Chakula kibaya kwa wanaume ni "fast food"
Ukiona pahala pameandikwa hivyo pita mbali!
Unapo zungusha feni kwa muda mrefu ndio nguvu zako hizo kukaa kama gogo kitaalam tunasema hauna nguvu za kikeNazo hazisimami au?
Wanume wa pwani pweza ni kitweo cha kilasiku sasa unashindana nea nini? Babu wa miaka 80 kuoa kigoli mbona ni kitu cha kawaida, tena akamzalisha watoto kadhaa.Tatizo LA nguvu za kiume vijijini ni nadra sana labda huko pwani lakini Kanda ya ziwa, Kanda ya Nyanda za juu na Kanda ya Magharibi huko jamaa wameahiba na unakuta mtu anawanawake 4 kila mwanamke anapewa mimba na kuzaa.
Huko mijini ni shida kwasababu hamtaki kula vyakula vya asili na hamtaki kufanya shughuli za kuupa mwili mazoezi.
Ahsante kwa kunijibia mpenzi, nimekumiss utoroke kazini urudi homelisaa limoja nipo juu nikishuka matokeo ni 4 kwa 3
Tatizo LA nguvu za kiume vijijini ni nadra sana labda huko pwani lakini Kanda ya ziwa, Kanda ya Nyanda za juu na Kanda ya Magharibi huko jamaa wameahiba na unakuta mtu anawanawake 4 kila mwanamke anapewa mimba na kuzaa.
Huko mijini ni shida kwasababu hamtaki kula vyakula vya asili na hamtaki kufanya shughuli za kuupa mwili mazoezi.
Sasa kama hautoi burudani uzungushiwe ili iweje bebi, mtu ajichoshe na bado umchafue tu hapana aseeUnapo zungusha feni kwa muda mrefu ndio nguvu zako hizo kukaa kama gogo kitaalam tunasema hauna nguvu za kike
Tukose mara ngapi yani kwakweli bora hata mtetea anapewa kwa siku hata mara nne mtetea ametuzidi wanawake furaha ya mgegedo, yani mnatuhuzunishaMtakosa......
Tuambie basi hivyo vyakula vya kuongeza nguvuKatika kilele cha juu kabisa cha furaha katika ndoa, kama inavyojulikana, ni sherehe inayopatikana katika kitendo lenyewe la ndoa. Ingawa, ili furaha hiyo ipatikane ni lazima tendo hilo limefanyika katika hali ya afya kwa wanandoa wote wawili.