Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,450
- 12,317
Mara nyingi tumekua tunatumia Anti virus kwenye PC zetu hata simu (smart phones)bila kuwa na ujuzi nazo mana ziko nyingi sana mfano SmadaV,AVG,360 total Security,Kespersky etc,
1.kwa wenye uelewa wa mambo haya tafadhali naomba mtupe ushauri na utaalam wenu je ni nawezaje kujua kama anti virus flan ni fake au genuine?
2.Je ni vyema kutumia anti virus kwenye simu?
mana wengi wamezoea vya bure bure kumbe vinawagharimu sana na kuua devices zao au kupoteza documents muhimu walizohifadhi kwenye PC zao.
Ushauri wenu ni wa muhimu sana.