Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,280
- 44,418
kwan hujui biblia inasemaje """ole wao walala usiku na kuwaza maovu vitandani mwao""" ni maneno ya muhubiri haya.
kabisa manake utawaza kesho nitapata wapi gepu nipige za wk end, mara ada za watoto jan sijui nimvizie vp bosi wangu, mara nitege wapi mingo nibadili fenicha ndani, umeona enh!!Nimekoma mie,
hivi teacher, inawezekana kweli watu wakalala vitandani na kuwaza maovu?
jamani haya maswali hata hayana mantiki.
Kama una shida na maana ya kitu fulani kigoogle na kama unaona huwezi kingereza tumia google translator
nenda
translate.google.com
website zote utatafsiriwa kwa lugha unayotaka
kabisa manake utawaza kesho nitapata wapi gepu nipige za wk end, mara ada za watoto jan sijui nimvizie vp bosi wangu, mara nitege wapi mingo nibadili fenicha ndani, umeona enh!!
asante sana mkuu kwa kunifungua ubongo wangu naomba kuuliza kwani SMARTPHONE inamaanisha nn?? je ni version ya simu ama ni generic name ya hizo ipone?? na je hata kama nina kka-nokia ka mchina ila kanasoma emails na kenyewe naweza kusema ni smartphone??
pili je simu yyte ambayo ni tachi- screen ni iphone??
hivi umeshawah kuwaza kwamba kabla usingizi hauja kupitia huwa unawaza nin?? leo chunguza kisha utaniambia
Kwani on average mtu anasubiri usingizi kwa muda gani?
mie sizidishi hata dak 5!
Kwani on average mtu anasubiri usingizi kwa muda gani?
mie sizidishi hata dak 5!
Babu leo maswali kwa ticha. Mimi nimesha experience anachosema gfsonwin nnapoanza kuchukuliwa na usingizi, vitu vingi sana hunijia mawazoni, viingi, unaweza kujenga hata nyumba kifikra.
Una bahati sana babu yaani within 5min ushalala.
babu usione watu wanakaa humu mitandaoni mida ya usiku kama hii ni katika hali ya kupunguza kuwaza maovu kitandani.Namshukuru sana teacher gfsonwin kwa somo.
Ukweli nimejifunza kitu.
Binafsi nina usingizi wa kunitosha ili mradi niwe nimechoka. Sijawahi kupata muda wa kuwaza kwa bed!
kumbe wengine ndipo wanapofanyia kila aina ya mission?
Namshukuru sana teacher gfsonwin kwa somo.
Ukweli nimejifunza kitu.
Binafsi nina usingizi wa kunitosha ili mradi niwe nimechoka. Sijawahi kupata muda wa kuwaza kwa bed!
kumbe wengine ndipo wanapofanyia kila aina ya mission?
Waungwana wa matechnology hodiiii.
Naomba kupata elimu toka kwenu japo kwa uchache katika vitu hivii.
1. web
2.blog
3.page
4.logo