Elimu Kenya: Mwalimu mkuu wa S/M lazima awe na degree

Mtu mwenye degree anafaa awe na more to offer than mtu mwenye hana degree, and it there is no better performance then why even bother on forcing teachers to have degrees kama walimu wa diploma wanatoa better performers kuliko walimu wa degree
Hiyo ndiyo ulipaswa kujenga hoja yako, sio kupinga kwamba hawapo waalimu wenye degree, mwenzako alitaka kujua kama Tanzania kuna wenye degree primary schools au hapana, jibu tukamuambia wapo, wewe ungeuliza kama hao walimu wana impacts au hapana, usubiri tukujibu ndiyo ulete ushahidi wako.

Unashangaa nini katika hili la Elimu, mbona Kenya ina GDP kubwa lakini haina impact yoyote, mambo mengi imezidiwa na Tanzania?, bado njaa inaongezeka, umasikini ni mkubwa, rushwa inaongezeka, deni la taifa linapaa.
 
Sasa swali unalofaa kujiuliza ni Tanzania ina uzembe kiasi gani mpaka inashindwa kielimu na nchi ilio na matatizo kiasi hiki ! You guys must be the stupidest people ever, hata Somalia itakuja wapita
Mlikua na kipindi cha miaka 25 ya kurekebisha mambo yenu, kipindi ambacho Tanzania ilisimamisha shughuli zote za maendeleo na uchumi, tulikuwa busy kuwakomboa waafrika wenzetu waliokuwa wakikojolewa na kuuliwa na mabwana zenu wazungu, ni kama mashindano ya mbio za marathon, ninyi mumeanza dakika 25 mbele yetu, pamoja na hayo yote, kasi yetu ni kubwa tumewapita katika maeneo mengi sana.

Mbona hujiulizi kwanini mumeshindwa kujenga umoja wa kitaifa, kuondoa rushwa na ukabila, kumaliza njaa, kupunguza umasikini, hivi ndiyo vitu muhimu kwa taifa lolote lile, kama hamna amani na maelewano, vyote vingine ni bure.
 
Hehe eti tz mlisimamisha shughuli zote za maendeleo kwa miaka 25, hehe you must be smoking some f'd up shit.
Rudi kwenye youtube ya mazishi ya Nelson Mandela, msikilize MC alichokisema wakati anamkaribisha Kikwete kuzungumza, huo ndiyo ukweli japo utakuumiza.
Afrika haitosahau usaliti uliofanya na Kenya dhidi ya bara hili wakati wa kipindi kigumu cha kuikomboa Africa.
 
Nilidhani utanieleza watz mlivosimamisha maendeleo yenu kwa miaka 25 baada ya kupata Uhuru kumbe utaniambia niskize maneno ya MC flani ambaye hata we mwenyewe humfahamu kwa jina? Cheezy.
 
Nilidhani utanieleza watz mlivosimamisha maendeleo yenu kwa miaka 25 baada ya kupata Uhuru kumbe utaniambia niskize maneno ya MC flani ambaye hata we mwenyewe humfahamu kwa jina? Cheezy.
Sasa ulitaka nikueleze kwa kutumia lugha ya kikuyu ndiyo uelewe?, mimi sio mkikuyu, nilieleza katika maelezo yangu kwamba Tanzania ilisimamisha shughuli zote kwa miaka 25, wewe ulipoonyesha kutokuamini, ndiyo nikakueleza kuhusu hiyo youtube, huyo alizungumza hayo maneno mbele ya dunia nzima, asingeweza kuidanganya dunia ktk wakati mgumu wa majonzi kama ule, au ili uweze kuamini ulitaka nani au niseme nini?, akili yako imejaa vumbi.
 
Heheh... Inakaa mlikua huko nyinyi wote mkaacha nchi yenu. Ebu sema mlitumia hela gapi huo wakati.
 
Heheh... Inakaa mlikua huko nyinyi wote mkaacha nchi yenu. Ebu sema mlitumia hela gapi huo wakati.
Muulize Uhuru Kemyatta kwanini alitishia kurudisha KDF nyumbani wakati EU ilitishia kupunguza pesa wanazotoa kugharimia vita huko Somalia kwa 20%?
 
Huyo ni mkikuyu mwenzako, angekuwa mtanzania ningejua alikoenda, au yeye ni mjaluo hamuelewani?
Wapi bana jamaa mkisii huyo, ndugu zetu hao. Siwezi fahamu alipo lakini, wewe na yeye ndo mna uhusiano wa karibu jombaa. Chizi mwenzako.
 
Hahahaha 25 years of what?? Hata hiyo Nchi mliyokomboa ni Tajiri zaidi ya lalahoi Danganyika Mara kumi kuashiria ujinga wenu.
 
Hahahaha 25 years of what?? Hata hiyo Nchi mliyokomboa ni Tajiri zaidi ya lalahoi Danganyika Mara kumi kuashiria ujinga wenu.
Sisi ni binadamu, sio kama ninyi wanyama wa porini, hatuwezi kukaa kimya tukiona binadamu wenzetu wanateseka au kunyanyaswa, tupo radhi kutoa uhai wetu ili kuwasaidia wengine. Ninyi ni wanyama wa porini hamna wala hamjui utu wa binadamu, ndiyo sababu mnakufa kila siku kama kuku
 
Mkashindwa kuwakomboa Wasomalia toka alshababu mbona? Cowards of East Africa.
 
Mkashindwa kuwakomboa Wasomalia toka alshababu mbona? Cowards of East Africa.
Hao tuliwaachia ninyi mrekebishe makosa yenu ya kuisaliti Africa wakati wa ukombozi, mngeweza kuwamaliza alshaabab kidogo Africa ingefikiria kuwasamehe, lakini kwasababu hata hao wavaa ndala mumeshindwa, kumbe ndiyo sababu mliogopa kupeleka jeshi lenu dhahifu Msumbiji na Angola kupambana na jeshi la wareno, na makaburu.
 
Back
Top Bottom