Elimu juu ya siafu

Wee unasikia kila weekend anaenda kwa Mshana Jr kula josho unajua maana ya josho mkuu!
Haina haja ya chale bibie akirudi mjini mwepesi kama kuku wa kizungu.
daah noma, hata sijui maana ya josho mkuu, natumia kiswaswadu chenye opera, kuna option ya emoj ya thanks tu, ya kucheka na zingne sioni, hivyo nashindwa kuapply, sijaangalia comment za juu je ametoa maana ya josho?
 
Shambn kwangu huwa najifunzaga ving sana kwa hawa wadudu mfano ukimuua mmoja ukamfukia kuna mmoja akinusa lile shimo ukikaa ndan ya sekunde 30 utaona wanaanza kuitana kufukua lile shimo mpaka wanamkuta pia nimejifunza ukiweka mguu wako katikat yao alafu ukatulia usitikisike watakupanda na then wanashuka wanaenda pia nimegundua hawa wadudu wana nguvu sana niliuaga nyoka nikamuweka kweny hao wadudu yule nyoja alibebwa na kupelekwa shimon walipofika shimon walimnyofoa ile nafika asubuh himebak miba asee najifunzaga ving ambavyo hata darasan sikuvipata pia kuna wadudu nikiwaonaga najua hapa kesho au wik hy kuna mvua na kunawengn wakitokea unajua hapa mvua zina wik mbil mbele zinaisha pia nimejifunza kuweka akiba kupitia panya buku na toka niwajua hawa viumbe undan leo nimeifunza mengi some time bora ukae na viumbe kunakitu utajifunza kuliko kukaa na masela aka wanavulana wa dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…