Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 14,174
- 30,653
Umeharibu mtaji mkuu๐ฑKuna maelfu ya siafu niliwa angamiza huku kijijini kwetu, walikuwa wanakuja usiku wanavamia mabanda ya kuku, wanang'ata vifaranga na kuku.
Nikamwaga oil na petrol nikawachoma moto.
Kumbe naua pesa aisee!! ๐
Ukosefu wa maarifa ni tatizo sana.
Sasa hivi wakirudi tena, nawatafuta wachina waje tuongee biashara. ๐Umeharibu mtaji mkuu๐ฑ
Sio kwamba wewe ndio uwe mgunduzi ufanye jambo nchini kwako?Sasa hivi wakirudi tena, nawatafuta wachina waje tuongee biashara. ๐
Shida kama una mifugo kama kuku na ng'ombe. Watasumbuliwa sana na hawa jamaa.Hawa siafu pia wanasifika kuzuia wadudu hatari kama nyoka.
Wewe kama eneo lako linasumbuliwa na nyoka jitahidi uwapandikize hawa jamaa maeneo karibu na nyuma yako.
Hata awe Black mamba lazima ahame hilo eneo.
Teknolojia yenyewe ya kufanya ugunduzi iko wapi??Sio kwamba wewe ndio uwe mgunduzi ufanye jambo nchini kwako?
Ila ukipeleka kwa mganga utajiri huu hapa! Mambo yanachanganya haya๐ฅฒTeknolojia yenyewe ya kufanya ugunduzi iko wapi??
Ukipeleka siafu maabara, unaweza kuitwa mchawi...๐
Mchawi wa nasa kafika๐Mwenye anahtaji machimbo ya siafu hai anicheki pm nipige hela.
Dahh sijawahi kuwaona wala kuwasikia ndio leo๐๐พ๐ฑShida kama una mifugo kama kuku na ng'ombe. Watasumbuliwa sana na hawa jamaa.
Usiku wanakuja kwa maelfu, wanang'ata kuku, ng'ombe, mbuzi.
Sio poa yani kuku analiwa anaisha. Anabaki mifupa.
hata kama umepata maarifa,wakivamia mifugo yako utawaacha? Soko la siafu halipoKuna maelfu ya siafu niliwa angamiza huku kijijini kwetu, walikuwa wanakuja usiku wanavamia mabanda ya kuku, wanang'ata vifaranga na kuku.
Nikamwaga oil na petrol nikawachoma moto.
Kumbe naua pesa aisee!!
Ukosefu wa maarifa ni tatizo sana.
yupi?Mchawi wa nasa kafika
Ushaharibu masharti tayari..Woiii ndio nimejifunza kwenye uzi wa mshana leo๐ kumbe nyangumi ana magamba๐จ
Na unayapeleka wapi? Ugunduzi wetu ni kwa waganga tu sio๐
Ukosefu wa maarifa ni tatizo sana๐๐๐Kuna maelfu ya siafu niliwa angamiza huku kijijini kwetu, walikuwa wanakuja usiku wanavamia mabanda ya kuku, wanang'ata vifaranga na kuku.
Nikamwaga oil na petrol nikawachoma moto.
Kumbe naua pesa aisee!! ๐
Ukosefu wa maarifa ni tatizo sana.