proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 7,616
- 11,851
- Thread starter
-
- #81
Unajua hizi simu za selfie zikitumika kuchati mada za masomo shuleni mbona one nyingi!!!Mimk pia nashangaa sijui kwanini madogo hawafulu wakati kila kitu wanacho,watu tumesoma shuleni kwetu hakuna library hakuna internet lakini watu tumefaulu..... lakini watoto wa siku hizi wana kila kitu lakini wanapiga zero za kutosha,yani utandawazi badala ya kusaidia umekuja kuwaharibu kabisa ,watu 24/7 wako Facebook na Instagram hapo unategemea nini Mkuu.
Soma uelewe.Acha upuuzi
Three ya DDE unaenda degree kama kawa.
Poa mkuuWatu hawasomi lkn wanataka kwenda chuo kikuu,hatutaki wasomi fake fake.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Elimu haijawa ngumu, zaman tumesoma ktk mazingira magumu hata hakuna google search tunatafuta vitu kweny vitabu au daftar za waliotutangulia...sasa hiv kila kitu kipo na bado toto linapata three kwel....
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda mambo yako mazuriNgoja niyaache kama yalivyo
Mambo yako mazuri
Sasa kwani alieandika uzi kadema huendi au ujaelew alivosema cut off point nneThree ya DDE unaenda degree kama kawa.
Aise itakua kweli vizuri ndg
Daaaaa hio yenyewe ngumu kumesa kwa kweliMdogo wangu kamaliza mwaka huu na vyeti vya form six havijatoka,Afanyaje wakati HESLB wanahitaji vyeti ya form four na form six viambatanishwe kwenye maombi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweliVijana someni!
Wasome nakati ajira, acha kuwapotosha wambie walimeKwa kweli
Hapo thatha,, [emoji4] [emoji4]Mdogo wangu kamaliza mwaka huu na vyeti vya form six havijatoka,Afanyaje wakati HESLB wanahitaji vyeti ya form four na form six viambatanishwe kwenye maombi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kulima kuna kijana anaweza shikq jembe enzi hii kweliWasome nakati ajira, acha kuwapotosha wambie walime