Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,833
- 35,844
Heshima ya kuwa chuo kikuu inashuka ikiwa wote mtafika chuoWe mnoko aise au kwa kuwa ulishapitapo au baba yako ni kigogo ndio maana unaringa.
Siku hzi hata iii ya four haina thamani mkuu.. Zamani ilikuwa deal sana ukipata kidumeNdio hivyo mkuu..inabidi watu wakazane sana 1&II ziwe za kutosha kama hiyo III inaleta majanga
Elimu haijawa ngumu, zaman tumesoma ktk mazingira magumu hata hakuna google search tunatafuta vitu kweny vitabu au daftar za waliotutangulia...sasa hiv kila kitu kipo na bado toto linapata three kwel....
Sent using Jamii Forums mobile app
True mkuu aseehSiku hzi hata iii ya four haina thamani mkuu.. Zamani ilikuwa deal sana ukipata kidume
Yah elimu zenyewe za kusimamiwa na kina Bashite hizi, hiyo heshima sijui itatoka wapi!hahaaaa kibabe zaidi
Hayo ndiyo mawazo ya kisasa kabisa, acha hao wenye mawazo ya mwaka 47 eti wakisoma university watapotembea kitaa wataheshimika wakati wakishagraduate wanaanza kuwalamba miguu watu ambao hata shule hawaijuikwa mifumo ya elimu yetu inakoelekea, mwanangu nitamtrain mapema awe mkulima ili form six leavers wajipatie angalau ajira ya kupakia mazao
tunakoelekea uko heshima itakuepo tu mkuuYah elimu zenyewe za kusimamiwa na kina Bashite hizi, hiyo heshima sijui itatoka wapi!
Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
One ya 13 ya BRN unajisifia???Nilikuwa na division one ya 13 CSEE lakini nilipoingia a level nkatoka na ACSEE division three ya 14 D E E coz sikuwa serious.
Acha uongo dogo ,,hiyo ilitumika kwa mwaka 2014 pekee na grades zao zilikuwa ndogoSio kweli Elimu ya A level imekuwa simple(nyepesi ) sasa zama division one ulikuwa point 3 mpaka 7 , division two 8 na 9 tu Ebu angalia sasa hivi division one inaanza na point 3mpaka 9 na division two inaanza na point 10 mpaka 12 ni hivi yaani zamani. MTU ukipata point 10 una division 3 kila kwa sasa MTU ukipata point kumi ana division two imekuwa nyepesi Sana'a sio kama zamani bana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ya one ya 3-7 ilikuwa 14 na 15 mwaka uliofuata ilirudi kama kawaida... kipindi hicho kulikuwa na A, B+, B, C, D, E, S...Sio kweli Elimu ya A level imekuwa simple(nyepesi ) sasa zama division one ulikuwa point 3 mpaka 7 , division two 8 na 9 tu Ebu angalia sasa hivi division one inaanza na point 3mpaka 9 na division two inaanza na point 10 mpaka 12 ni hivi yaani zamani. MTU ukipata point 10 una division 3 kila kwa sasa MTU ukipata point kumi ana division two imekuwa nyepesi Sana'a sio kama zamani bana
Sent using Jamii Forums mobile app
Wigo wa division upo sawa zamani kuingia chuo ni point 2 zenye thamani ya 30 kwa point mbili zinakuwa 60 .mfumo mpya ambao wameuchukua eti uko nyuma yan wameurudisha chuo uende na point 2 zenye thamani ya 50 kila moja total kwa mbili inakuwa 100. Kwa wale wa miaka 2000 paka nais 2012 walikuwa point zao zina thamani ya 45 total inakuwa 90 .ukiangalia 2016 bado wapo juu kuliko miaka yoteSio kweli Elimu ya A level imekuwa simple(nyepesi ) sasa zama division one ulikuwa point 3 mpaka 7 , division two 8 na 9 tu Ebu angalia sasa hivi division one inaanza na point 3mpaka 9 na division two inaanza na point 10 mpaka 12 ni hivi yaani zamani. MTU ukipata point 10 una division 3 kila kwa sasa MTU ukipata point kumi ana division two imekuwa nyepesi Sana'a sio kama zamani bana
Sent using Jamii Forums mobile app