proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 7,575
- 11,760
Tukiangalia huko tulikotoka elimu ilikua nafuu kwe viwango vya matokeo,lakini sasa ni shida kwa kweli.
Kwa mfano kipindi cha nyuma ulikua ukipata THREE kuanzia ya 14-18 unaenda chuo kikuu lakini hivi sasa unaambiwa ukiwa na three umefaulu cha kushangaza usipokua na cut off point 4 yaani DD huwezi kwenda chuo kikuu.
Sasa kwa hapo asiepata hizo point unakuta ana3 lkn haendi chuo kikuu si bora wangesema aliepata 3 amefeli? Kwa haina maana kuwa na three isiyoenda chuo kikuu hata kwa nchi nyingine. Huu uboreshaji wa elimu wa namna gani huu?.
Ukiangalia nchi nyingine kwanza hakuna hata advance.
Unataka msomi uwe peke yako mkuu.. etiKwanza nimefurahi kichizi mnavyobaniwa
Tukiwa wengi mtaani dharau zitazidi.Unataka msomi uwe peke yako mkuu.. eti
Wewe ndio mpuuzi hutak kuelewa, mkuu amesema ukipata three kuanzia 14 nakuendelea, hiyo DDE unayosema ww ni ya pts 13, kabla hujakosoa soma vzr maandish mkuu acha kukurupukaAcha upuuzi
Three ya DDE unaenda degree kama kawa.
Hivi bado mnaheshimiwa kwa hizo masters na PhD! me natafuta pesa tu asiyeniheshimu atajua mwenyewe, bata zitaniheshimuTukiwa wengi mtaani dharau zitazidi.
hahaaaa kibabe zaidiHivi bado mnaheshimiwa kwa hizo masters na PhD! me natafuta pesa tu asiyeniheshimu atajua mwenyewe, bata zitaniheshimu
Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
We mnoko aise au kwa kuwa ulishapitapo au baba yako ni kigogo ndio maana unaringa.Kwanza nimefurahi kichizi mnavyobaniwa
Soma uelewe ndg.Acha upuuzi
Three ya DDE unaenda degree kama kawa.
Soma uelewe ndg.Acha upuuzi
Three ya DDE unaenda degree kama kawa.
Soma uelewe ndg.Acha upuuzi
Three ya DDE unaenda degree kama kawa.
Sasa iyoDDE ni mchezoAcha upuuzi
Three ya DDE unaenda degree kama kawa.