mr pipa
JF-Expert Member
- Jul 26, 2021
- 2,330
- 4,854
Ni mara mia kutembea miaka saba sehemu mbalimbali ndani ya nchi au duniani kuliko kukaa darasani miaka 20 leo hii wasomi wengi wanachojivunia haswa na kinachowatofautisha na watu wasio soma ni lugha na sio maarifa, ndio maana hata matangazo ya kujiunga na shule utasikia vitu viwili SHULE INASHIKA NAMBA ZA JUU yaani inafaulisha mbili WATOTO KUJUA LUGHA
English, kifaransa nk
Ukitoa hivyo hakuna kingine ndio mana leo si ajabu watoto kushika nyimbo za zuchu, na plutnums
Ni aibu kama taifa kuendekeza na kuwafundisha watoto kitu ambacho hakina msaada kwao matokeo yake tunajaza watu wasio na maarifa mtaani
NB mlio maliza vyule kwanza usije ukaridhika na elimu uliyotoka kuipata shuleni tafuta maarifa, kuwa mtu wa kukaa na watu mbalimbali,na tofauti tofauti na sikutwa kusikiza nyimbo, michezo,hiyo inakuangamiza na utabaki mpumbavu pia penda kusoma vitabu, ingia YouTube tafuta maarifa, na sio kukaa kutegemea elimu uliyopata, wasomi mnielewe mana nyinyi hamna maarifa mna elimu