denoo49
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 6,114
- 6,940
Naamini sana katika muda na kipato cha wazazi wangu nlichotumia na ninakiheshimu sana,nakiri pia niliapa kutokuwa na uhusiano kimapenze popote pale panapohusu kazi au elimu nashukuru huwa kamwe sikingani na maamuzi ya moyo wangu,ni kweli chuo ni sehemuhatari sana usipokua na akili na malezi bora.elimu yangu na ndoa yangu ni mihimili miwili tofauti kabisa,ukishachanganya PHD na ndoa kwishaaaa unapotea kabisa.wajibu wa mke kama mke bila kuchanganya elimu ni muhimu sana.mtoa mada umesahau kudadavua hili hao wanaume wasio na elimu inapotokea wamedondoka kwenye kundi la wanawake wasomi huumia sana for the rest of th life sababu hutumia nguvu nyingi kuishi naku couple na hawa wanawake other wise awe na pesa nyingi sana,huyo mwanamke ata cool down.
sasa hapo umeongezea kitu cha tatu PESA, NDOA, ELIMU/HESHIMA