Mkuu walio fanya elimu ya vyuo vikuu ionekane ni bule ni wale wanaotangaza kazi serikalini wakitaka wanafunzi wa cheti waombe lkn wenye degree hyo kazi sio yao. Wanawafanya wazazi waone mwanafunzi kusoma shahada ya kwanza kama mkulima wa bangi kwahyo ili uwe mtumishi wa umma jitaidi ufail mitiani yako.Wasalaam.Kumekua na tabia siku hizi hasa kwa wale waliofanikiwa kimaisha kwa njia tofauti na kisomo kuwabeza waliosoma kwamba si chochote.
Mfano kuna mtu anaitwa Dotto Magari na Mbunge Msukuma.
Hawa wanaponda sana watu walio na Elimu kwamba haina faida.
Najiuliza wakienda Hospitali hao madaktari wanaowatibu si wanatumia Elimu zao?
Ni mfano tu wa hao ila mitandaoni kumeibuka wimbi kubwa la watu wakinanga na kuonyesha elimu haina manufaa.
Watoto wa maskini wanamezeshwa hizo Perspective huku watoto wa viongozi wakiendelea kupata Elimu nzuri zaidi na huenda tukatawaliwa na vizazi vile vile miaka ijayo.
Tumejengewa mifumo na misingi kwamba manufaa ya elimu ni kuajiriwa.
Dhana ya kuajiriwa inaturudisha nyuma wengi.
Lakini pamoja na ajira za kuajiriwa kupungua haimaanishi thamani ya Elimu isiwepo.
BUMIJA Tutor.
Arusha, Tanzania
Nilikuwa nawaza hata masomo mengi ya sayansi hayafundishwi kwenye msingi wa kuonesha vile yalivyo practical ndo maana yanaonekana magumu sana.Tatizo elimu yetu inayotolewa haiko practical, haimuandai mhitimu kuexplore mazingira yake kwa manufaa yake,matokeo yake ni kudharauliwa. Wako sawa kudharau wasomi sababu wanajua elimu inayotolewa haina quality. Ni sawa na bure kusoma.
Tatizo la Watanzania wengi hawaelewi lengo la elimu ni nini.Wasalaam.Kumekua na tabia siku hizi hasa kwa wale waliofanikiwa kimaisha kwa njia tofauti na kisomo kuwabeza waliosoma kwamba si chochote.
Mfano kuna mtu anaitwa Dotto Magari na Mbunge Msukuma.
Hawa wanaponda sana watu walio na Elimu kwamba haina faida.
Najiuliza wakienda Hospitali hao madaktari wanaowatibu si wanatumia Elimu zao?
Ni mfano tu wa hao ila mitandaoni kumeibuka wimbi kubwa la watu wakinanga na kuonyesha elimu haina manufaa.
Watoto wa maskini wanamezeshwa hizo Perspective huku watoto wa viongozi wakiendelea kupata Elimu nzuri zaidi na huenda tukatawaliwa na vizazi vile vile miaka ijayo.
Tumejengewa mifumo na misingi kwamba manufaa ya elimu ni kuajiriwa.
Dhana ya kuajiriwa inaturudisha nyuma wengi.
Lakini pamoja na ajira za kuajiriwa kupungua haimaanishi thamani ya Elimu isiwepo.
BUMIJA Tutor.
Arusha, Tanzania
Huyu ni 900 itapendeza upepo wa liquid soon na yeye atayeyuka shwaa asiwaumize kichwa
Elimu ni nguvu inakujenga namna ya kuwaza na kufikiri tofauti mtu ambaye hajasoma na mtu ambaye amesoma wakizungumza lazima utagundua ipi pumba upi mcheleTatizo la Watanzania wengi hawaelewi lengo la elimu ni nini.
Wanafijiri lengo la elimu ni kupata cheti cha kupatia ajira na mshahara iki mtu aishi maisha ya unafuu.
Wakiona elimu waliyoioata haiwasaidii juoata ajira wanaona elimu haina maana.
Wakati hilo si lengo la elimu, na ukifikiri hivyo, bado hujaelimika.
Mkuu hapa unaongelea elimu ya ngazi ipi ?Tatizo elimu yetu inayotolewa haiko practical, haimuandai mhitimu kuexplore mazingira yake kwa manufaa yake,matokeo yake ni kudharauliwa. Wako sawa kudharau wasomi sababu wanajua elimu inayotolewa haina quality. Ni sawa na bure kusoma.
😂🤣 Am here to papachueti...sijui Nini na Nini😅Education is Better than money,
Elimu ni bora kuliko Pesa
Huyo Doto magari ni mjinga tu kama wajinga wengine,sio wa kumtilia maananiWasalaam.Kumekua na tabia siku hizi hasa kwa wale waliofanikiwa kimaisha kwa njia tofauti na kisomo kuwabeza waliosoma kwamba si chochote.
Mfano kuna mtu anaitwa Dotto Magari na Mbunge Msukuma.
Hawa wanaponda sana watu walio na Elimu kwamba haina faida.
Najiuliza wakienda Hospitali hao madaktari wanaowatibu si wanatumia Elimu zao?
Ni mfano tu wa hao ila mitandaoni kumeibuka wimbi kubwa la watu wakinanga na kuonyesha elimu haina manufaa.
Watoto wa maskini wanamezeshwa hizo Perspective huku watoto wa viongozi wakiendelea kupata Elimu nzuri zaidi na huenda tukatawaliwa na vizazi vile vile miaka ijayo.
Tumejengewa mifumo na misingi kwamba manufaa ya elimu ni kuajiriwa.
Dhana ya kuajiriwa inaturudisha nyuma wengi.
Lakini pamoja na ajira za kuajiriwa kupungua haimaanishi thamani ya Elimu isiwepo.
BUMIJA Tutor.
Arusha, Tanzania
Wasamehe Bure,. Kwakuwa hawana elimu ndio maana wanasema hivyo,. Lait wangekua wameelimika wangekaa kimya. Ni jamii gani inaweza kupiga hatua pasipo elimu?. Hayo mafanikio Kwa wasio na elimu ni asilimia chache sana. sikatai wapo wenye elimu na hawajaelimika hao pia ni wachache. Hawawezi kuwa sawa wenye elimu na wasio na elimu. Ndio maana watu wanawekeza kwenye elimuWasalaam.Kumekua na tabia siku hizi hasa kwa wale waliofanikiwa kimaisha kwa njia tofauti na kisomo kuwabeza waliosoma kwamba si chochote.
Mfano kuna mtu anaitwa Dotto Magari na Mbunge Msukuma.
Hawa wanaponda sana watu walio na Elimu kwamba haina faida.
Najiuliza wakienda Hospitali hao madaktari wanaowatibu si wanatumia Elimu zao?
Ni mfano tu wa hao ila mitandaoni kumeibuka wimbi kubwa la watu wakinanga na kuonyesha elimu haina manufaa.
Watoto wa maskini wanamezeshwa hizo Perspective huku watoto wa viongozi wakiendelea kupata Elimu nzuri zaidi na huenda tukatawaliwa na vizazi vile vile miaka ijayo.
Tumejengewa mifumo na misingi kwamba manufaa ya elimu ni kuajiriwa.
Dhana ya kuajiriwa inaturudisha nyuma wengi.
Lakini pamoja na ajira za kuajiriwa kupungua haimaanishi thamani ya Elimu isiwepo.
BUMIJA Tutor.
Arusha, Tanzania
Elimu inayotolewa inabeba maudhui ya ku"serve" public issues. Mtu anasomea uongozi can you imagine?. Shida iliyopo hapa ni kitu kinaitwa social inequality yani nafasa pamoja na kuwepo ila ni chache so, wachache ndo wanazifikiana wengine wengi wanakosa.Tatizo elimu yetu inayotolewa haiko practical, haimuandai mhitimu kuexplore mazingira yake kwa manufaa yake,matokeo yake ni kudharauliwa. Wako sawa kudharau wasomi sababu wanajua elimu inayotolewa haina quality. Ni sawa na bure kusoma.