Elimu haina mwisho!

Elimu haina mwisho!

jimmy fivao

Member
Joined
Jun 5, 2015
Posts
26
Reaction score
3
Dah. Kweli nimeamini elimu haina wisho,Jana nimekaa na jamaa tunapiga story moja mbili aha.Jamaa akaniuliza ivi unakumbuka tulikuwa dalasa la kwanza tulikuwa tunasoma vitu mbalimbali akasema kupaa hewani tulikuwa tunasemaje nikamwambia fry akasema gud akanauliza na ndege inaitwajee?dah nilishindwaaaa ebu mdawu unakumbuka tulivyokuwa tunaimba........Niambie basiii
 
Kama ulimsikia mtia nia wa urais kwenye ukumbi fulani huko Musoma,alitamka bayana amesoma mpaka mwisho.sasa wewe unataka kutuambia nini....
 
Kama ulimsikia mtia nia wa urais kwenye ukumbi fulani huko Musoma,alitamka bayana amesoma mpaka mwisho.sasa wewe unataka kutuambia nini....

ngoja nimfwate anielekeze alipo soma mpaka mwishoo nami nikasomeee.
 
Back
Top Bottom