Robinhomtoto
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 238
- 244
Napenda kuwafahamisha mawaziri wetu wa Elimu Na Utumishi Juu ya Uwepo wa Watumishi waliomaliza kidato cha 4, wakasoma Certificate tu kisha wakaruhusiwa kuchukua Degree je nao mnasemaje?
WatumbuliweNapenda kuwafahamisha mawaziri wetu wa Elimu Na Utumishi Juu ya Uwepo wa Watumishi waliomaliza kidato cha 4, wakasoma Certificate tu kisha wakaruhusiwa kuchukua Degree je nao mnasemaje?