Elimu cheti cha foundation course'

Elimu cheti cha foundation course'

Nsimbi

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2014
Posts
1,091
Reaction score
1,208
Wadau nina cheti cha foundation course toka OUT. Sina fedha za ada kuendelea zaidi. je naweza kukitumia cheti hicho kuombea kazi. kina B ya Communication skills na C ya Development Studies.

Naomba ushauri.
 
Kamuombe ndalichako atakuajiri....alitoa tangazo anawatafuta wenye vyeti vya foundation course.... Wampigie viatu kiwi....
 
Mkuu sorry kama nitakukera ila siku nyingine kabla ya kuleta uzi au maada hapa ndani jaribu kuinyumbua mwenyewe na kuona kweli inafaa kuombewa ushauri.

Yaani unatafuta kazi kwa cheti cha foundation course seriously?

Hiyo foundation course ulikuwa unasomea nini unashindwa kuelewa kwamba hiyo course ulikuwa unapatiwa ili kujiandaa na masomo ya elimu ya juu sasa wewe unataka kazi dah!

Nikushauri kitu mkuu rejea elimu yako ya nyuma either O'level or A'level

Js
 
Back
Top Bottom