Elimu Bure Vyuo Vikuu, Lowasa kalenga mbali

Elimu Bure Vyuo Vikuu, Lowasa kalenga mbali

JFK wabongo

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2015
Posts
3,887
Reaction score
3,200
Huenda ni kwa kukosa uelewa kamili au ni kwa kukusudia ila atakuwa kalenga mbali na kukosa shabaha. Gharama za elimu ya chuo kikuu ni kama:-
1. Tuition fee
2. Meals and accommodation
3. Practical training/industrial practices nk
4. Special faculty requirements.
Je ikiwa bure ni kipi kitatolewa bure au vyote.
Je, loans board itafutwa?
Je, kama ikifutwa, mbona hatusikii kuwa wadaiwa wa loans board watafutiwa madeni yao, maana hakutakuwa na wakuyakusanya.
Hii ahadi imepakwa rangi ila ni sawa na kumpa mbu kazi ya kutibu malaria.
 
hv unajua loan board ilianzishwa lini?...HESLB became operational in July 2005.kabla yahapo watu walikua wanasoma vyuoni kwa hela ya serikali kila gharama ilikua covered..
 
hv unajua loan board ilianzishwa lini?...HESLB became operational in July 2005.kabla yahapo watu walikua wanasoma vyuoni kwa hela ya serikali kila gharama ilikua covered..
Kipindi hicho wanafunzi walikuwa wangapi? Tena miaka hiyo huenda walikuwa wanapikiwa msosi kama sekondari. Wanafunzi wote walikuwa wanapata accommodation vyuo, sasa hali ni tofauti. Nafikiri kuna assignment kubwa ya kufanya kabla hatujaifikia.
 
Huenda ni kwa kukosa uelewa kamili au ni kwa kukusudia ila atakuwa kalenga mbali na kukosa shabaha. Gharama za elimu ya chuo kikuu ni kama:-
1. Tuition fee
2. Meals and accommodation
3. Practical training/industrial practices nk
4. Special faculty requirements.
Je ikiwa bure ni kipi kitatolewa bure au vyote.
Je, loans board itafutwa?
Je, kama ikifutwa, mbona hatusikii kuwa wadaiwa wa loans board watafutiwa madeni yao, maana hakutakuwa na wakuyakusanya.
Hii ahadi imepakwa rangi ila ni sawa na kumpa mbu kazi ya kutibu malaria.

Ukitaka kujua ccm wezi kiss gan, chagua ukawa uone, utagundua tu kuwa Tanzania ni tajiri kuzidi mawazo ya wengi. Itawezekana nje ya ccm tutaone wenyewe, kwan mikopo tunayopewa wanarudisha wangapi? wanakata kias gan na n bila riba? Ni jambo dogo sana kwa serikali yenye nidhamu
 
Wewe ni mhuni tu. Umesoma shule ya wapi mkuu? Hebu chukua idadi ya wanafunzi waliopo vyuo vikuu leo, uhesabu na gharama za mahitaji yote hayo mhimu utapata jibu. Mimi nilijua humu ni great thinkers kumbe kuna hata mbumbumbu? Au siasa inawapumbaza sana? Mwaka 2010 wapinzani walisema watatoa elimu bure kuanzia chekechea mpaka sekondari, CCM wakasema wapinzani waongo haiwezekani. Mbona mwaka huu CCM wameahidi ahadi zile zile za wapinzani mwaka 2010? Sasa inakuaje leo inawezekana kwa CCM?
Mimi nilitegemea wewe unaye amini kuwa hilo linawezekana uwe umepiga mahesabu ni kiasi gani kitahitajika. Hapa ninachokiona ni kuwa Ada itagharimiwa na serikali ila vingine vitabaki mkopo. Hilo litakuwa changa la macho kwani hadi sasa wapo wanaopata 100% hivyo hawalipi ada.
 
Ukitaka kujua ccm wezi kiss gan, chagua ukawa uone, utagundua tu kuwa Tanzania ni tajiri kuzidi mawazo ya wengi. Itawezekana nje ya ccm tutaone wenyewe, kwan mikopo tunayopewa wanarudisha wangapi? wanakata kias gan na n bila riba? Ni jambo dogo sana kwa serikali yenye nidhamu

Huwezi jenga ghorofa kwa tofali la barafu. Eti tuchagueni muone? Kama huwezi kujieleza beyond reasonable doubt, kura hupati.
 
Huenda ni kwa kukosa uelewa kamili au ni kwa kukusudia ila atakuwa kalenga mbali na kukosa shabaha. Gharama za elimu ya chuo kikuu ni kama:-
1. Tuition fee
2. Meals and accommodation
3. Practical training/industrial practices nk
4. Special faculty requirements.
Je ikiwa bure ni kipi kitatolewa bure au vyote.
Je, loans board itafutwa?
Je, kama ikifutwa, mbona hatusikii kuwa wadaiwa wa loans board watafutiwa madeni yao, maana hakutakuwa na wakuyakusanya.
Hii ahadi imepakwa rangi ila ni sawa na kumpa mbu kazi ya kutibu malaria.

Huo ni UJAMAA NA UKOMUSTI ndio unatumia neno BURE. Kwenye Dunia ya kwanza hakuna BURE bali tunalipia kila kitu. Hayo ndio maendeleo. Hii ya ELIMU bure tulisha kuwa nayo wakati wa Nyerere, watu walisoma kuanzia Vidudu mpaka pale Mlimani bila ya kulipa hata senti moja. In fact, ulipewa mpaka fedha ya nauli kutoka Serikali ya CCM. Leo mmesha sahau na kufikiri eti Lowassa kaja na nyimbo mpya. Labda ulikuwa bado haujazaliwa au ulikuwa ndio unanyonya maziwa ya mama.
 
Hivi kweli kuna wanaoamini hiyo ahadi inaweza kabisa kutimizwa katika zama hizi?

Ni ahadi ngumu kutimiza lakini Mungu akijalia ikatimizwa basi umasikini utakua umepunguzwa kwa asilimia kubwa sana. Hali ya mzunguko wa fedha nchini ni mbaya sana jambo linaloathiri biashara zote na si kwamba watu hawana pesa ila kutokana na mwamko wa elimu kipaumbele cha kila mzazi ni kugharamia elimu ya mwanae. Endapo atabebewa mzigo huo basi angalau atamudu kula milo miwili, ataweza kujenga makazi bora, na hata kuweza kunywa soda wikendi kama si bia. Fedha zitarejea kwenye mzunguko na biashara nyingi zitapata uhai.
 
Huo ni UJAMAA NA UKOMUSTI ndio unatumia neno BURE. Kwenye Dunia ya kwanza hakuna BURE bali tunalipia kila kitu. Hayo ndio maendeleo. Hii ya ELIMU bure tulisha kuwa nayo wakati wa Nyerere, watu walisoma kuanzia Vidudu mpaka pale Mlimani bila ya kulipa hata senti moja. In fact, ulipewa mpaka fedha ya nauli kutoka Serikali ya CCM. Leo mmesha sahau na kufikiri eti Lowassa kaja na nyimbo mpya. Labda ulikuwa bado haujazaliwa au ulikuwa ndio unanyonya maziwa ya mama.

Subiri laptop za bure kwa kila mwalimu tanzania na milioni 50 kwa kila kijiji tanzania maana haya ndo yanatekelezeka
 
Kipindi hicho wanafunzi walikuwa wangapi? Tena miaka hiyo huenda walikuwa wanapikiwa msosi kama sekondari. Wanafunzi wote walikuwa wanapata accommodation vyuo, sasa hali ni tofauti. Nafikiri kuna assignment kubwa ya kufanya kabla hatujaifikia.

Ulipaswa kwenda zaidi ya kuangalia idadi ya wanafunzi tu. Ni vyema ukaangalia population nzima na uwiano wake k umuri.

Ccm imekuwa zero katika matumizi sahihi ya raslimali kwa mustakabalisahihi wa maendeleo ya nchi na hivyo kuendup kuwa na idle resources and man power kubwa, ama uzalishaji usio na tia kwa taifa.

Mchakato wa kutoa elimu bure haukai kisiwani peke yake ni interrelated mpango unaotegemeana sana kwa karibu na mipango mingine kwa ujumla yake ikiwemo kuongeza uzalishaji wenye tija, ukusanyaji sahihi wa mapato na matumizi bora ya raslimali zote ikiwemo watu, na magawanyo sahihi wa mapato ya serikali.

Suala la elimu bure haliwezi kuwa halisi bila kupunguza mianya ya ukwepaji kodi iliyolelewa na serikali ya ccm.

Ni vigumu kuongeza mapato bila kuwekeza kwenye uzalishaji bora na masoko kwa ngazi zote likwemo swala la kufufua sector ya viwanda ambayo ccm imeua na kuzika, kuimarisha uzalishaji kilimo kitu ambacho kimekuwa midomoni na si mioyoni mwa ccm na elimu ambayo ndiyo mwanga katika kila hatua.

Lakini ni jambo lisiloeleweka mtu aseme anaboresha viwanda bila kujua wala kuzingatia upatikanaji wa nishati. Viwanda vinahitaji nishati. Nishati hiyo ya kufanikisha viwanda inatoka wapi ikiwa ccm wanampango wa kuzima hata hivi vimuli muli vya tanesco vya sasa? Hawana hata habari kama viwanda vinamahitaji yake. Ccm wamebaki kunakili kwa juujuu mipango ya UKaWA.

Yako mengi sana ambayo yanahitaji akili nyingine na SIYO CCM ambayo imeyatengeneza eti ijiadai kuyamaliza. Huu utakuwa wehu.

Mfano. UKAWA vipaumbele vyao ni elimu, elimu , elimu katika maeneo yote ya raslimali watu, matumizi na hifadhi ya ardhi yetu na vyote vilivyomo, siasa safi wakianzia na muundo wa katiba mpya ya nchi kwa ajili ya Watanzania na Tanzania yao waitakayo, uongozi bora na matumizi halali, sanifu na sahihi ya nyenzo hizi juu kwa kusukuma mbele ustawi wa taifa la Tanzania katika nyanja zote.

HATUTEGEMEI KUPATA TAFSIRI SAHIHI YA MKAKATI HUU KUTOKA CCM KWA KUWA SI MAONO WALA NIA YAO NA UWEZO HAWANA WA KUBORESHA KITU ZAIDI YA KULINDA MASLAHI YAO TU. KUIGA KOTE HUKU KUTOKA UKAWA NI KUKOSA DIRA, KUTOKUKUBALIKA NA KUTOKUWA NA DHAMIRA SAFI KWA CCM JUU YA TAIFA.

Ninaomba, unapokuwa na swala usilolielewa, kitu ambacho si dhambi, badala ya kujifanya unajua na kutoa hitimisho kwa kuwa hufahamu, jaribu kuuliza kwa kuwa hakuna mtu anajua vyote na huwezi kutoa jibu kwa kitu kiko moyoni kwa mwingine.

MABADILIKO YA TANZANIA NI UKAWA TU NA WALA SI CCM AMBAYO IMESHINDWA MIAKA YOTE NA BADO HAINA MAJIBU, UWEZO WALA NIA YA KUFANYA LOLOTE LA KUIPELEKA TANZANIA KATIKANJIA SAHIHI.

CCM IKAE PEMBENI IONE WENGINE WANAFANYAJE KATIKA KULIONGOZA TAIFA BADALA YA KUJIFNAYA WANAJUA WAKATI WAMESHINDWA.
 
Kampeni za Lowassa zinaendana na utafiti wake wa muda mrefu wa maisha ya Mtanzania. And " YES HE CAN " Tunachosubiri ni wakati muafaka ili mtiririko wa Neema katika nchi hii uanze kwa kasi.
 
Huo ni UJAMAA NA UKOMUSTI ndio unatumia neno BURE. Kwenye Dunia ya kwanza hakuna BURE bali tunalipia kila kitu. Hayo ndio maendeleo. Hii ya ELIMU bure tulisha kuwa nayo wakati wa Nyerere, watu walisoma kuanzia Vidudu mpaka pale Mlimani bila ya kulipa hata senti moja. In fact, ulipewa mpaka fedha ya nauli kutoka Serikali ya CCM. Leo mmesha sahau na kufikiri eti Lowassa kaja na nyimbo mpya. Labda ulikuwa bado haujazaliwa au ulikuwa ndio unanyonya maziwa ya mama.
Umesema vyema. Neno bure liko kwenye ujamaa na ukomonist. Lowasa ni mgombea wa chadema, chadema si chama cha KIJAMAA wala KIKOMNUNISTI, unamaanisha hajielewi? Je tunayo sababu ya kumuamini.?
 
wakat wanafunz wanaongezeka vyanzo vya kuwezesha elimu bure n ving kupta maelezo tatzo UWEZO WA KUFKR KWENU KUMEISHIA HAPO NYIE AKNA NGOSHA ukichukua PESA ZA RUMBEXA ZINAZOPOTEA KAMA ZLVYOPOTEA UKJUMLSHA MISAMAHA OVYO YA KOTI KUJUMLISHA STAREHE NYING KAMA MAGAR YA KIFAHAR KWA WA2SH WA SERKAL na hapo vyanzo muhm kama ges hfadh, mlima kilimanjaro, madin nk hapo ndo utapata picha kamil NA NINY MAVUVUZELA NA MAJUHA NA KUBWA JINGA WA CCM TAKRIBAN 1.2 TRILION MOJA NA POINT HIYO N MAX NDO ZINAZOTAKIWA kitu ambacho N RAHC XANA
 
Hivi kweli kuna wanaoamini hiyo ahadi inaweza kabisa kutimizwa katika zama hizi?

Mkuu nimeona na kwenye post yako nyingine juu ya kutokuwa na imani na ahadi za kisiasa na ningependa kuunga mkono hivyo ndivyo 'siasa' ilivyo.
 
serikali huwa hawalipi tuition fees kwenye vyuo vyake. huwa wanapeleka OC tu. kwa hiyo hilo number 1 halipo.
 
serikali huwa hawalipi tuition fees kwenye vyuo vyake. huwa wanapeleka OC tu. kwa hiyo hilo number 1 halipo.

vyuo vya umma vinaendeshwa kwa budget ya serikali ikiwemo mishahara sasa hizo pesa wanazolipa wanafunzi vyuoni za kazi gani? Kama sio kulipana posho.

HESLB wakoposhe wanafunzi wanaosoma vyuo binafsi na shule za private, hapa nakubaliana na lowasa, mambo mengine tuwe wakweli.
 
Elimu bure inawezekana jamani mbona hamtaki badilika msiwe kama mawe ya mtoni jamani
 
Back
Top Bottom