Elimu bure iondolewe, watu waanze kulipa Ada

Elimu bure iondolewe, watu waanze kulipa Ada

Kwani kazi ni dezo au wajibu wa serikali kutoa ajira. Kazi sio zawadi wala shindano la kusema mnamtafuta mshindi. Ni uzembe tu unafanyika ila hamna nchi ilioendelea ambapo inaona fahari kuhenyesha watu wake katika ajira

Sasa kama elimu ni bure kwa nchi masikini unafikiri kutakuwa na ajira?

Ubure wa elimu uendane na uchumi wa nchi, sio sekta moja iwe mzigo kwa sekta zingine, lazima kuwe na balansi vingenivyo lazima watu wahenyeshwe
 
Balance ni kazi ya serikali kuhakikisha hilo kuwa wasomi wanapata cha kufanya. Wenzetu wana ma viwanda na mazingira ya kufanya miradi ya kibunifu yapo.

During the 60's serikali ilisomesha idadi ya watu inaowahitaji kuwatumia tu. Sio kama sasa kila mtu anakuwa na elimu halafu analazimika kufanya shughuli za dropouts zile.
 
Hivi ukipata elimu nzuri ni lazima upate ajira serikalini ? Hakuna njia mbadala ya kutumia hiyo elimu kujiajiri?
 
😀 😀 😀 😀

Eti shughuli za Dropout, kama zile za Billgate

😉😉😉
 
Hivi ukipata elimu nzuri ni lazima upate ajira serikalini ? Hakuna njia mbadala ya kutumia hiyo elimu kujiajiri?

Nilikuwa namjibu Extrovent

Wenye shule binafsi unajua hali zao kwa sasa boss? Unajua nao ni sehemu ya kupunguza tatizo la ajira nchini?
 
Ni kweli kabisa, Muktadha wa jamii yetu ni jamii masikini uliochangiwa na sababu lukuki, kuu ni uvivu, ujinga, na unafiki. Kwenye uvivu ndipo sababu nyingi zipo mathalani kupenda mserereko, vya bure

Jamii lazima ibadilishwe kifikra mambo ya bure ni sehemu ya chanzo cha umasikini.
Wew unaezungumza ukute bado upo ghetto hujaoa na wala huna mtoto, unaish kibarobarotu huelewi ugum wa maisha,, familia masikini siyo maskin kwakuwa hawafanyi kazi/wavivu ispokua zipo sabab nyiing hataivyo kwenye jamii watu hawawez lingana kiuchumi hata kama wanafanya kazi sawa,,, zipo familia zinajikokota mno00

Jee vip kuhusu wale wasona wazaz! Maisha kama matam kwako shukuru bro
 
Ulaya ipi hiyo ndugu?

Unaposema ni bure unamaanisha nini?
Soma sheria za ufaransa.

Shule bure. Na mzazi anapewa pesa za maandalizi ya kila mtoto kipindi cha kujiunga na shule..

Wacha hayo mambo mkuu..

Usichokijuwa ulaya
-- shule bure..
-- raia analipwa..
-- mfungwa analipwa mwisho wa mwezi.

Nikizungumzia ulaya sizungumzii ulaya mbovu
--Albania.
--Russia ,
--Romania,
,--zchec republic,
,--Astonia.
--Bulgaria,
.---Poland.

Nazungumzia ulaya nzr
Holland.
Italy.
France.
German.
Spain.
Sweden.
Norway.
Finland.
Denmark.
Austria.
Swiss.
Nk...
 
Mbona nyerere aliweza kusomesha watoto wote bure?ikiwa ni pamoja na stationery?..wanafunzi waliokua wakisomea vyuo vya mbali walilipwa usafiri bure....chakula bure.....matibabu bure..tena ya mwananchi yeyote ..yeye aliweza je?
 
Kwasababu unapumua na huelewi nani anagaramia hiyo pumzi.

.

Pumzi ni oksijeni ambayo tunaipata kwenye mimea, mimea asili imeisha na sasa tunapanda miti wenyewe... bure iko wapi hapo!

Mungu anasisitiza kumtolea sadaka, kama hutoi usidhani unaishi BURE bali anakudai na atakuhukumu.
 
Sadaka ni upande wa mali si uhai
 
Yaani kunawatu wakishibaga uji wa ulezi basi wanajiona wamesha maliza kila kitu.
Wewe unafaa kuandika nyuzi za kichawi
 
Back
Top Bottom