Ally maganga
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 1,433
- 914
Mwalimu mkuu unatafuta kichaka cha kupiga hela.
Kama wewe una uwezo wa kulipa ada peleka mwanao Feza schools.
Kama wewe una uwezo wa kulipa ada peleka mwanao Feza schools.
Habar naomba kuchangia
Mimi ni mmoja wa wanufaika wa elimu bure. Japo ni kwa mwaka mmoja tu 2016 nilikua form four. Advance elimu sio bure kuna ada kama kawaida. Nililipa kwa sasa nipo chuo kikuu. Ada ni laki na hamsini mbaka laki na themanini (ukichukua ada plus additional cost)...
Mwalimu mkuu unatafuta kichaka cha kupiga hela.
Kama wewe una uwezo wa kulipa ada peleka mwanao Feza schools.
Yani Hata elimu hii hutaki watoto wa masikini wapate? Hii ni karibu na ushetani
Nimeskia sana viongozi na watu mbalimbali kwa wingi wakidai ni elimu bure. Kiuhalisia na ufasaha ni elimu bila malipo au elimu pasi ya malipo maana kodi zinakokusanywa katika taifa huelekezwa katika elimu.Umesema vyema mkuu, lakini hujasikia wakisema elimu ni bure kwa sasa?
Inategemea na eneo analo ishi kuna njia zipi za kupata kipato. Yawezekana ikashindikanaWewe unaamini kuna mtu anashindwa kulipa 20,000 kwa mwaka wakati anaishi duniani akiwa mzima wa AFYA?
Inategemea na eneo analo ishi kuna njia zipi za kupata kipato. Yawezekana ikashindikana
Kazi mnafanya wananchi wenyewe na sifa zinaenda kwa raisi. Mnalipa kodi. Hakuna bure. Kodi imeongezwa mishahara imepunguzwa.Hakuna elimu bure! Ni elimu bila malipo inayotokana na kodi yako unapouza fasihi mtandao kwa kununua DATA na yule mtoto anayenunua pipi dukani.
Hamna kiongozi yeyote mwenye pesa mfukoni ya kutoa elimu bure.
Nimeskia sana viongozi na watu mbalimbali kwa wingi wakidai ni elimu bure. Kiuhalisia na ufasaha ni elimu bila malipo au elimu pasi ya malipo maana kodi zinakokusanywa katika taifa huelekezwa katika elimu.
Iwekwe wazi na ifanyiwe sasisho jipya kwa tangazo maalum la serikali kwa kusema ni elimu bila malipo kama walivyowahi kupitisha zuio la kuita uwanja wa taifa - Dar es Salaam "Kwa Mchina".
Sawa. Ila yanawezekana usione kwako ni pesa ndogo kwa wengine ni midhihani kupata Hata 200 kwa siku usidharau haya mabo yapoHakuna mtu anayeshindwa kulipa hiyo 20,000 kama ada labda awe mgonjwa wa mwaka mzima
Unajua elfu ishirini kwa miezi 12 ni 1666.6
Sawa. Ila yanawezekana usione kwako ni pesa ndogo kwa wengine ni midhihani kupata Hata 200 kwa siku usidharau haya mabo yapo
Hakika! Hawa watu unishangaza, vitu vingi sana hufanywa na Serikali ya Wananchi na mara nyingi husimamiwa na Serikali ya Viongozi.Kazi mnafanya wananchi wenyewe na sifa zinaenda kwa raisi. Mnalipa kodi. Hakuna bure. Kodi imeongezwa mishahara imepunguzwa.
Ni wapi Mungu anakupa vitu vya bure!
Ok nimekuelewa.Sijaidharau mkuu ila nazungumzia uhalisia
Ndio maana humu ndani kuna watu wanasema Ada imeondolewa lakini michango ipo, kumbuka michango huwa zaidi ya ada.
Itaunda mtazamo chanya hasa kwenye matumizi sahihi ya kodi😁Sishurutishi watu, bali nazungumza jambo lenye faida kwenye jamii.
Wewe mtu asome bure, unafikiri akili itaunda mtazamo gani kwenye maisha hasa katika jamii masikini?
Sioni ubaya wowote katika hili. Pesa zinazotokana na utalii zielekezwe kwenye elimu.Kodi kukusanywa katika sekta nyingine alafu zikaachwa kwenye sekta ya elimu huoni inagharimu uendeshaji wa sekta ya elimu?
Kwa maana sekta ya elimu haizalishi chochote kwa serikali zaidi ya pesa za mitihani...
Kwani kazi ni dezo au wajibu wa serikali kutoa ajira. Kazi sio zawadi wala shindano la kusema mnamtafuta mshindi. Ni uzembe tu unafanyika ila hamna nchi ilioendelea ambapo inaona fahari kuhenyesha watu wake katika ajiraMkuu usipolipa Ada kuna uwezekano wa kutafuta ajira, ukilipa ada ajira zipo tuu,aidha ujiajiri au uajiriwe.
Mtu akishazoea dezo/vya bure anataka mpaka kazi apewe kirahisi tuu
Sioni ubaya wowote katika hili. Pesa zinazotokana na utalii zielekezwe kwenye elimu.