Elimu bora kwa kila Mtanzania

Kachocho T.K

Member
Feb 1, 2011
25
3
Masikitiko, Masikitiko. Ndugu Mtanzania, kila mara rais na viongozi wake wanajigamba, ELIMU TANZANIA imepanda. Je kwanini usiamini kupanda kwa elimu kunathibitishwa na zero na kufeli kwa asilimia 80 ya wanafunzi wa kidato cha nne mwaka huu. Hongera rais na wasaidizi wako ziro tumeziona. Hii ndio hali, kasi na nguvu zaidi.
 
JK alipata C flat UD akisoma Political Economics yake unategemea anawaongoza wapate nn?
 
Back
Top Bottom