Brownj
Senior Member
- May 8, 2017
- 139
- 81
Salaam wakuu, ni kweli kwamba elimu ina majina mengi mazuri na ya kuvutia sana, lakini hakuna tena uhalisia wa hayo maneno kwa sikuhizi.
Daah hakuna hatua yenye nafuu walau kidogo yaani kila hatua vilio tuu jamani daah, bado mtu unakuja ku graduate kazi hamna unarudi mtaa [emoji25] [emoji25] na madeni ya HESLB juu.
Hali tete wakuu nawatakia kila la heri hasa wakati huu wa upepo mweusi wale wenzangu namimi msikate tamaa elimu ni mojawapo tu ya njia za kufanikiwa ila sio pekee jiamini tu kwani hata ulipofikia kielimu bado ni pazuri tu usikate tamaa na kuona kama una mikosi na kuwaza mabaya tu njoo mtaani ukiwa na hari na morali wa juu ili baada ya miaka 3 wanapograduate wenzio wakuone level nzuri uwasaidie mawazo na mitazamo ya kimaisha.
Mora awatangulie sana [emoji120] [emoji120]