Elimika

Mfua suleiman

Member
Feb 27, 2014
60
62
*INSTITUTE OF PROCUREMENT AND SUPPLY - IPS*
"Chuo cha ugavi na ununuzi"

Chuo kinatangaza nafasi za masomo kwa wahitimu wa kidato cha nne na sita kwa kozi za Cheti na Diploma katika Fani ya *UGAVI* na *UNUNUZI*

Chuo kimesajiliwa na NACTE na pia kinatoa mafunzo ya cheti na Diploma kwa mitaala ya chuo cha *CIPS* cha Uingereza.

ADA ZETU NI NAFUU SANA NA UTALIPA KIDOGOKIDOGO

HOSTEL ZIPO KWA WANAOTOKA MBALI NA ENEO LA CHUO.
Chuo kipo Chanika Manispaa ya Ilala (Nje kidogo ya jiji la Dar es salaam).

Kwa maelezo zaidi na jinsi ya kuletewa fomu za kujiunga popote ulipo nchini Tanzania, wasiliana nasi kwa namba za simu zifuatazo;
0718476238/0714445399/0762889549
Au tembelea tovuti yetu; WWW.ipstz.ac.tz au tuma Email; info@ipstz.ac.tz au ipschanika@yahoo.com.

*WE DEVELOP LEADERS WHO MAKE THE DIFFERENCE*
 
Back
Top Bottom