Elfu 70 na matumizi

Elfu 70 na matumizi

nandembako

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
655
Reaction score
528
Jaman nisaidieni naweza kufanya nini cha maana nikiwa elfu 70,ili nisijutie,nisaidien wadau...nitatumia mawazo yenu
 
Elfu 70 unaipata kila siku au kila mwezi??
 
Hebu tulia andika vizur naona waz hujakamilisha maandishi yako hiyo hela unaipataje kwa matumiz gani
 
Back
Top Bottom