Eleza tofauti kwenye hii picha

Eleza tofauti kwenye hii picha

Dingswayo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
4,019
Reaction score
2,931
Eleza tofauti uzionazo kwenye hii picha:

TRL.jpg
 
hao ni watu wazima,pia ni high profile wachama tawaal hawawezi kuwa na njozi/dira ya kukomboa taifa hili...,kama vile wako kwenye production ya tamthiliya nahisi ni too much of maigizo hamna uhalisia............
 
Tofauti iliyopo ni ccm kudhani bado wanawezo kuwadangaya Watanzania wa leo
 
Mafisadi waliandaliwa mabehewa ya pekee, eti wanasafiri kwa treni kwanini sasa wasisafiri kama abiria wengine?..
unaweza kukuta huko abiria wengine wanakanyagana, na wao kila moja rum yake.. unafiki tu umewajaa... hakuna lolote..
ila sasa tatizo wananchi wasioelewa... utashangaa kila kituo waliwapigia makofi, badala ya kuwazomea.......
 
Mwigulu Nchemba alisafiri kwenye behewa la Second Class maana lina Vitanda Sita. Ndani wakalala wanaume wazima Sita.
 
Mwizi wa "pembe", Tembo wameanza kumkimbia baada ya kuona anaelekea msituni.
 
Nchi nyingi za ulaya na Amerika wanatumia baadhi ya train za zamani kwenye utalii, ila bongo bado tuna tumia train ya mkoloni kutoa huduma muhimu ya usafiri. Swali tumefanya nini kuliendeleza shirika letu la reli kuwa la kisasa?
 
as great thinkers right?
Absolutely right..! Ubaya wa jamii forum ni kwamba hata vilaza huwa wamo..! Next time tuwe na mtandao ambao mtu anatakiwa kupass IQ test quiz ndo anapewa ID..!
 
Nape anacheka, Kinana anatabasamu..............wenye nacho wanawapingia wasio nacho
 
Nimemuona Jangiri kinana, kwa hiyo tembo wote waliopo kwenye huo msitu, lazima ile kwao...
 
vua gamba, vua gwandwa, vaa uzalendo wanadai eti.......... yote hii ni ubatili mtupu
 
Back
Top Bottom