Eleza tabia mbaya za wasanii uzijuazo.

Eleza tabia mbaya za wasanii uzijuazo.

Slave

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2010
Posts
5,313
Reaction score
2,657
Wasanii wengi wenye majina makubwa wengi wanatabia ambazo wengi huchukizwa nazo wanasahau hata kauri mbiu yao ya wasanii kioo cha jamii,sasa embu tuelezeni tabia zao mbaya ili ikiwezekana wajirekebishe. AFANDE SELE nyimbo zake nyingi zina jumbe za kuvutia,kufundisha,na kuburudisha ila aimbavyo tofauti na aishivyo,ugomvi,kuvua nguo majukwaani na mengine mengi ya kuchukiza, MATONYA Jamaa ni tapel popote aendapo hata kama mfukoni ana milion 2 lakini huwa hafurahi kutoka sehem bila kuwaingiza mjini watu, vitu kama mavazi,tax ,guest,pombe,baada ya hapo tuje tueleze na mazuri yao.
 
Flora mvungi kukuibia chochote ulalapo nae na ukiamka ukijisachi utakuta
Mboni masimba kudharau wanaume wa mjinj na kusema kuwa yeye ana expensive **** kisa imetafunwa na eto
Diamond na bob jr kujifanya wao ndio wasafi kuliko mtengeneza omo
 
Flora mvungi kukuibia chochote ulalapo nae na ukiamka ukijisachi utakuta
Mboni masimba kudharau wanaume wa mjinj na kusema kuwa yeye ana expensive **** kisa imetafunwa na eto
Diamond na bob jr kujifanya wao ndio wasafi kuliko mtengeneza omo
WTF?? vagina yake inatoa tanzanite? au expensive upi kutoa rangi rangi mwisho wa mwezi??
 
Wasanii wa kike wanapenda kutukalia uchi na kuonyesha nonihino zao mfn Anti, Wema... Utafkiri wanashindana nani zaidi? Jamani mnapendeza hata bila ya kuweka mambo yenu hadharani.
 
Wasanii wa kike wanapenda kutukalia uchi na kuonyesha nonihino zao mfn Anti, Wema... Utafkiri wanashindana nani zaidi? Jamani mnapendeza hata bila ya kuweka mambo yenu hadharani.

yaani hilo la kukaa nusu uchi ndo imekuwa fasheni,hata chipukizi nao sasa wanaiga wakiamini kukaa hivyo ni kurahisha kupata pei.
 
Nachukia sana wasanii kwa kujifanya very special.
»Yani mtu anajiona kama anashit keki au anakojoa soda full mashauzi
»Wasanii na misifa ya kijinga hasa bongo movies
»Kwenye social media kutorespond chochote anaandika status anasepa,anajibu maswali aliyoulizwa na anawaowajua fans anawapotezea ****!!

»Kumbuka story ya mwanalisa(Real Talk) alisema yeye kabla hajawa maarufu alishawahi kumsimamisha superstar ila kama appreciation lkn yule star alimnyari mbaya sasa cha kushangaza na yeye(Monalisa) ni staa na yupo naye kwenye industry moja analia njaa tu hyo msanii.
 
Nachukia sana wasanii kwa kujifanya very special.
0†3Yani mtu anajiona kama anashit keki au anakojoa soda full mashauzi
0†3Wasanii na misifa ya kijinga hasa bongo movies
0†3Kwenye social media kutorespond chochote anaandika status anasepa,anajibu maswali aliyoulizwa na anawaowajua fans anawapotezea ****!!

0†3Kumbuka story ya mwanalisa(Real Talk) alisema yeye kabla hajawa maarufu alishawahi kumsimamisha superstar ila kama appreciation lkn yule star alimnyari mbaya sasa cha kushangaza na yeye(Monalisa) ni staa na yupo naye kwenye industry moja analia njaa tu hyo msanii.

dah umefunguka aisee, nimekumbuka na enzi za mr nice jinsi alivyokuwa hataki hata kushusha kioo tu asalimiane na ma fans,jinsi alivyokuwa anakandia hata baadhi ya hotel ma promota wake enzi zile walikoma.ona siku alipokuja chuja mpaka akawa anakula ktk magenge bila aibu kabisa.
 
Mi hawa mabongo fleva wakiume wenye tabia ya kuonyesha michupi yao michafu ndo wananikera kupita maelezo.
 
1. Wasanii wa kiume Kupaka wanja. E.g Diamond.
2. Kubong'oa stejini. Eg. Diamond.
3. Kuvaa suruali chini ya makalio. Eg. Linex
4. Wanawake kukaa uchi. Eg. Wema & Ant.
5. Wanawake kufanya biashara ya k zao. Eg. Uwoya, Wolper
6. Wasanii wa kiume kubenua mdomo kama mwanamke. Eg. Diamond.
7. N.k
 
1. Wasanii wa kiume Kupaka wanja. E.g Diamond. 2. Kubong'oa stejini. Eg. Diamond. 3. Kuvaa suruali chini ya makalio. Eg. Linex 4. Wanawake kukaa uchi. Eg. Wema & Ant. 5. Wanawake kufanya biashara ya k zao. Eg. Uwoya, Wolper 6. Wasanii wa kiume kubenua mdomo kama mwanamke. Eg. Diamond. 7. N.k
majina yanayojirudia rudia ni DIAMOND,WEMA & AUNT EZEKIEL
 
Kutumia Swanglish ilhali hata paper ya QT hawajafanya-Diamond
 
Tena tabia yao ingine ya kukana makabila yao.inasemekana kabla ya ule wimbo wa all star wa kigoma,wengi walijiita wanatoka tanga,dar,arusha
 
Back
Top Bottom