ndetichia
Platinum Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,589
Ushirikina
hapo umemaliza..
Ushirikina
sipendi kuona mtoto wa kiume unajichubua ahaaaa hemed
tafuta kingine mwanangu ila hemed hajichubui,ana ushombe flani(mwarabu wa kuapia)
Tabia ya kuwekeza katika anasa pasipo kufikiria kesho itakuwaje.
Ni mademu, viwalo, magari na starehe zoote.
Wanashindwa kujipanga either ku maintain status, kwenda shule au hata kuwa na biashara za maana.
Wakichuja wanatia huruma sana wanaishia kuwa mateja kwa kutafuta liwazo..aibu sanaaa.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Kutumia carolight ndo nakereka kuliko zote!!!
chezeiya mungu yeye.dah umefunguka aisee, nimekumbuka na enzi za mr nice jinsi alivyokuwa hataki hata kushusha kioo tu asalimiane na ma fans,jinsi alivyokuwa anakandia hata baadhi ya hotel ma promota wake enzi zile walikoma.ona siku alipokuja chuja mpaka akawa anakula ktk magenge bila aibu kabisa.
loooooooooooolllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllnahisi kajindomo
Kutumia English wakati wa mahoajino na media za kiswahili........