Eleza tabia mbaya za wasanii uzijuazo.

Eleza tabia mbaya za wasanii uzijuazo.

kubom, kujibost, kujiona matawi, kupenda vya bure,kuazima pamba, kuvaa cheap jewelry, kupaka cheap perfumes, kupenda offer, kuchukuliana wapenzi, ulozi,uongo,majungu, uchawi na mambo yafananayo na hayo
 
WENGI WANAAMINI MUNGU LAKINI HAWAINGIAGI KATIKA NYUMBA ZA IBADA

kuvaa nguo fupi tena bila chupi kwa wasanii wengi wa kike
WANAZANI BILA HIVYO HUWEZI KUWA STAR@special agent

Kutumia English wakati wa mahoajino na media za kiswahili........
HAHAAA HAPO NAPO MH!! BORA UNABOMOKA KISWAZI TU KAMA WANAMEDIA HAWAKINYAKI KISWAZI SHAURI YAO AU SIO@charminglady
 
Ndio maana hata jamii unaanza kuwapa majina mabaya utasikia oooh freemaon na jina msanii =mjanja mjanja,mwizi tapeli nk. Jamani wasanii jiangalieni na mtambue madhumuni yenu ina semekana nyie ni kioo cha jamii sasa jamii ifate hayo mnayo yasikia hapo?
 
Mbona bongo wasanii hawapo tena sababu unaponitajia wasanii unamtaja imam abbas sugu saleh jabir nigger j afande solo roma mkatoliki fid q hao walobaki wanatafuta wa....e tuu hakuna msanii hapo
 
Mbona bongo wasanii hawapo tena sababu unaponitajia wasanii unamtaja imam abbas sugu saleh jabir nigger j afande solo roma mkatoliki fid q hao walobaki wanatafuta wa....e tuu hakuna msanii hapo
Salmer mie kwa huyo saleh jabr tu,enzi hizo bana jamaa alivuma sana miaka ya 90 BAK naomba unitafutie ngoma moja ya huyu mshua nataka niwasikilizishe rafiki zangu watu8 Mamnenyi Baba V na wengine wasio jua history ya bongo muzic.
 
Last edited by a moderator:

"Ruka kama ndege tua kama Ninja airport...
Ice ice baby, mtoto mtoto barafu..."

Hiyo ni sehemu tu ya wimbo wa huyo jamaa yako hapo juu....
 
Last edited by a moderator:
"Ruka kama ndege tua kama Ninja airport...
Ice ice baby, mtoto mtoto barafu..."

Hiyo ni sehemu tu ya wimbo wa huyo jamaa yako hapo juu....
nimeamini humu wazee tupo wengi Watu unaikumbuka na ile opp nilikuwa na mtoto crown ni mzuri... nilikata kuomba penzi mtoto kakubari.... sina mwingine ni yeye furani...asije mwingine akanipa habari.... akaniraghai kwa maneno ya uongo...sioni pengine ila dar-es-salaam bongo......sasa nakuona kama mchumba wakongo....kila upitapo nakusagia udongo........

hahahahah watu8 burudika basi na hili songi
 
Last edited by a moderator:
"Ruka kama ndege tua kama Ninja airport...
Ice ice baby, mtoto mtoto barafu..."

Hiyo ni sehemu tu ya wimbo wa huyo jamaa yako hapo juu....
sitapenda wengi kama maumba hivi huyo maumba kwa sasa yupo wapi?
 
sitapenda wengi kama maumba hivi huyo maumba kwa sasa yupo wapi?

"...Mahela si mahela bali majani ya Mpera".
Maumba hata sijawahi jua ni jina la nani kaka.
 
1. Wasanii wa kiume Kupaka wanja. E.g Diamond.2. Kubong'oa stejini. Eg. Diamond.3. Kuvaa suruali chini ya makalio. Eg. Linex4. Wanawake kukaa uchi. Eg. Wema & Ant.5. Wanawake kufanya biashara ya k zao. Eg. Uwoya, Wolper6. Wasanii wa kiume kubenua mdomo kama mwanamke. Eg. Diamond.7. N.k
wengi sana wapo hapa jf au watu wao wa karibu,naamini huo ujumbe utawafikia.
 
Back
Top Bottom