Elewa neno alilotumia Rais Samia "Kiumbe"

naye ni kiumbe pia
We are all EQUAL b4 God Almighty.
Mtu asifikiri akiwa Rais yeye ni zaidi ya Mungu. She/He can be above Katiba ya Tanzania but can't be above The God Almighty!! Where is John Pombe Joseph Magufuli today?????
 
Kabisa mkuu. Mamlaka zinawafanya wajisahau sababu wanaona wakiagiza tu yanatendeka wanajiona ni vijimungu fulani hivi
 
Mzunguko umekuwa mkubwa sana bika hoja kujibuwa!
Lini mtajibu hoja ?
 
bado hujaelewa soma tena
Shida yako unatetea sana serikali iliyounda kikosi cha kuteka, kutesa wananchi na kuwabaka mwishowe inawaua.
Paza sauti yako uwaokoe kizazi chako kitakuja kubakwa tu. Serikali haina maana tena ata kama Rais atasema maneno gani.
Paza sauti uwe mTanzania.
 
Ni muhimu kuitetea Serikali dhidi ya "wahuni"
nimewaho kuinanga Serikali pale ilipokosea kwa haki
 
Kwahiyo ikibaka wananchi ndiyo unaona hutakiwi kuwananga? Kuweni watu wakweli.
Serikali imekosa maana ya kuwalinda wananchi wake; yaani wanazungumzia amani ila hawasemi wale wanaotekwa, kubakwa na kuuwawa wao amani watailindaje wakati haki zao zimeondolewa?
Inasikitisha sana kuona kuna watu wanashabikia serikali iliyounda kikosi cha kubaka wananchi wake.
Hongera sana.
 
Kwa wanazuoni na wajuzi wa mambo huwa tunasoma mstari kwa mstari katika kila tamko la kiongozi.

Mhe.Rais Samia ametumia neno moja muhimu sana kwenye mojawapo ya speech yake.

"Hakuna kiumbe atakayeruhusiwa kuichezea amani ya Tanzania kwani ameapa kuilinda Tanzania"

Ewe mwanaJF, Mtanzania, Msomaji au yoyote yule unaelewa maana ya neno "Kiumbe"?

Nikitafsiri kidogo tu kutoka kamusi za walami.

something created either animate or inanimate: such as
a
: a lower animal
especially : a farm animal
b
: a human being
c
: a being of anomalous or uncertain aspect or nature

Yaani kilichoumbwa iwe ni mnyama au la au tunachofikiri kina uhai au hata kisicho kawaida tu.

Hivyo basi statement ya mhe.Rais ni extra terrestrial statement inayotakiwa kutiliwa maanani na sio kukurupukiwa na wahuni pengine wanaojidai ni maaskofu.

Rais Samia amedhihirisha utayari wa kuilinda na kuisimamia Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa namna yoyote ile ikiwemo "viumbe " hatarishi dhidi yetu.na hili ndilo lililomfanya kuwa Rais wa Tanzania.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Kiumbe inavyotumiwa na wanamipasho wa Zanzibar inamaanisha kidudu mtu. Samia aache kibri yake.
 
IMG-20250526-WA0023.jpg
 
Neno "kiumbe" limetumika kuonesha tofauti kati yake yeye mtawala na mtawaliwa(subject) yaani wasio na sauti mbele yake.
 
Back
Top Bottom