Elewa matumizi sio unajibonyezea tu

Elewa matumizi sio unajibonyezea tu

Mkubwa hizo kazi nimezifanya sana na mpaka sasa hunidanganyi kwenye plumbing ya bomba hakuna nisichofanya hapo hiyo buton kuwa mbili ni kama urembo tuu ndani kuna kama viplastic viwili cha hiyo buton ya kulia au kushoto ndo vinaenda kusukuma buton ya siphon ya ndani ambayo huwa ukipresiwa ndo inafunguka kwa chini ili kuruhusu maji yatoke kwa speed kuflash mkinyesi wako na maji yakishotoka inajifunga kwa speed na tank lako yanajaa maji mengine yenyewe ambayo huko ndani ya tank kuna boll valve ambayo maji yakikaribia kujaa kwenye tank inajifunga na kuzuia maji yasimwagike kwenye tank kwa kujaa.
Usijifanye mjuaji wakati hujui sana sisi waalimu wa hayo makitu tumetulia tuu tunaangalia unavyodanyanya wenzio
We nyungu ya mawe acha utungulu kwa wenzio View attachment 1165884
 
Mkubwa hizo zimeweka mbili ili kufanyaa spring zilizowekwa humo kuwa na nguvu ya kuzipandisha hapo hata uzuie baton moja iwe imenasia ndani higo nyingie inafanya kazi vile vilebila hata kutegemea mwenzie..
Labda la kukusaidi wee nenda kwenye choo cha kukalia funua huo mfuniko tizama kwa ndani ndo utajua na kundua ni mbwembwe tuu. Hao wazungu waliweka hivyo kama utatumia moja ya kulia au kushoto nyingine iwe kama ya akiba ikiwa hapo hapo endapo moja imekatika spring ya ndani ndo utumie hiyo nyingine..
Ila kibongo bongo wee press zote hazina shina kazi ni hiyo hiyo na hizo hazina hata bei ziko madukani kibao sh.7000 hiyo boton madukani ziko kibao
Nyiye ndo mnaambiwa mjifunze matumizi. Wadhani mdhungu kakosea kuweka viwili?? Kila kitu mnaona ka walijiwekea tu. Ni kweli kwenye tanki hakuna chumba ila mechanism inafanya kitofauti.
Kuna ile inatoa mengi kwa nguvu ili ibebe "magogo" na kuna ile inatoa maji kidogo ili ioshe maji ya rangi "kojo". Ukiitumia ile ya kusafirisha magogo unaharibu au unafanya kitu inaitwa "Matumizi mabaya" ya rasilimali maji.
Injinia hakukosea kuviweka viwili
 
Haina shida kazi ni moja semabwenzetu waliweka hivyo ili utumie moja nyingine iwe reselve kama hiyo moja itakatika spring ila kibongo bongo tunabinya zote kwa sababu ya mazoea
Wengi huwa wanabonyeza vyote... Usiniulize nimejuaje
 
Back
Top Bottom