Elewa matumizi sio unajibonyezea tu

Elewa matumizi sio unajibonyezea tu

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
8,314
Reaction score
12,821
Tunza maji
Ndogo: 'kojo
Kubwa: 'nya
20190728_172038.jpeg
 
Dadeki mi huwa nabonyeza vyoye mimaji inafurumia utadhani maporomo ya UDZUNGWA.
Kula like kama 100 hivi mwanangu. Nnani kawaambia waviweke mahali pamoja ka kulwa na doto?? Wangekuwa wajanja wangeweka kimoja ubavuni
[emoji23][emoji23][emoji23] Guys mmenichekesha sana mpaka tumbo limeniuma!
 
Back
Top Bottom