Wick
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 8,311
- 12,202
hahahhKula like kama 100 hivi mwanangu. Nnani kawaambia waviweke mahali pamoja ka kulwa na doto?? Wangekuwa wajanja wangeweka kimoja ubavuni
hahahhKula like kama 100 hivi mwanangu. Nnani kawaambia waviweke mahali pamoja ka kulwa na doto?? Wangekuwa wajanja wangeweka kimoja ubavuni
Du umenitoa ushamba hahahahaha
Mimi pia mkuu hahaaDadeki mi huwa nabonyeza vyoye mimaji inafurumia utadhani maporomo ya UDZUNGWA.
Nini hii Wajamini
Hivyo vyote matumizi ya moja sema tuu kwa vile kulia na kushotoSure wanaleta za magunzini kubonyeza vyote tena kwa nguvu latrines za mlimani city wamebomoa vyoote hivyo vi switch mbongo mbongo tu
Hata ubonyeze kimoja maji ni hayo hayo na sped ni hiyo hiyoDadeki mi huwa nabonyeza vyoye mimaji inafurumia utadhani maporomo ya UDZUNGWA.
Kula like kama 100 hivi mwanangu. Nnani kawaambia waviweke mahali pamoja ka kulwa na doto?? Wangekuwa wajanja wangeweka kimoja ubavuni
Nabonyezaga vyote tu
Vyotesawa utendaji wake ni mmojaDuh, mie huwa nazibonyeza zote kwa pamoja bika kujali kuwa nimetoa ndogo au kubwa...
Kabisa aiseeJf shule fulani hivi...
Nyiye ndo mnaambiwa mjifunze matumizi. Wadhani mdhungu kakosea kuweka viwili?? Kila kitu mnaona ka walijiwekea tu. Ni kweli kwenye tanki hakuna chumba ila mechanism inafanya kitofauti.Hivyovyote matumizi ya moja wee bonyeza kulia au kushoto maji ni hayo hayo wingini huohuo umo ndani hakuna vyumba wala nn na presure ya utokaji wa maji ni hiyo hiyo hata ubonyeze vyote au kimoja
Switch ya majiNini hii Wajamini