wakuu mi mwenyewe ni 1 kati ya mashabiki wa cdm lkn sii kama alivyo huyu jamaa anajÃ*ita (bongo ll) huyu jamaa ana sema cdm i2mie nguvu kuiondoa magamba madarakani, mi napinga enyi wana igunga kura yako ndo itakayo kufanya uliondoe gamba madakani na uanze kula kwa mrija kama vile wana moshi, hai, rm, ar,na wililaya zingine zote zilizo shikwa na cdm , wilaya yenu inajiweza mnaweza kukaa hapohapo bila kutoka na kwenda kutafuta maisha mikoa mingine lkn bahati hiyo hamjawahi kupata wana igunga. Angalieni kura zenu ndo hakizenu msidanganywe na buku2 na tst na kofia afu mna weka maisha yenu ya badae hatarini msidanganyike kueni wajanja, achaneni na magamba wanaweka ma2mbo yao2 mbele nakusain mikataba feki wakisha shiba wao bc hawawaangalii walio wachagua, kueni makini na msitafute haki kwa kumwagadamu 7bu kesho watajittea na2taonekana wabaya, kua makini nakura yako,