Elewa huu mtego kwanza ndio utajua biashara nzima ya Forex

Elewa huu mtego kwanza ndio utajua biashara nzima ya Forex

Mkuu kwanza nikupongeze kwa elimu ila nakuhakikishia bado una safari ndefu ya kujifunzA. Mimi nina uelewa wangu wa kawaida kabisa kuhusu forex ila nimetambua kasoro nyingi za uelewa wa forex kwenye andiko lako.


Kwanza nikukatalie si kweli kabisa kuwa hakuna Billionaires Kwenye biashara ya forex, huo ni uongo na ninaomba uukanushe hapa.


Wasomi kama nyie kutoa uongo wa ain aina hii ni kutufanya sisi ambao hatujasomea haya mambo kuwadharau na kuona elimu zenu ni "Vapour". Unamfaham Geoge Soros nakuomba uingie google uangalie urajiri wake ulitokana na nini mpaka akahamia wall street U.S.A.

Sasa hapa chini nakuwekea orodha ya baadhi ya billionaires waliotokana na forex These are the most famous forex traders ever


Jambo lingine ni kuhusu Volatility. Nakubaliana na wewe kuwa during high volatility kama muda wa kuachiwa news au report za uchumi huwa ni muda wa risk kubwa sana kama market ikiwa against na wewe ila pia ni muda mzuri kama market ikiwa in your side. Nakubaliana na wewe ila ni dhambi kuacha kufanya forex kwa kuogopa volatility. Kwani mkuu unaelewa dhima nzima ya STOP LOSS????? Hakuna successful trader bila kutumia STOP LOSS iwe muda wa high or loss volatility.



Jambo lingine ambalo unadanganya watu ni kwamba Eti Uvumilivu na Psychology of trading ni vitu visivyofundishwa. Eti huwa vinakuja automatically. We mtu ni moja ya wasomi waongo na ninapata shaka na hizo elimu zenu. Unasema uvumilivu haufundishwi??
Nakutolea tu Msomi mmoja millionaire wa forex Mr Adam Khoo nenda you tube atakufundisha psychology of trading mpaka utajikataa. Wewe bado unaonekana una Greed na Fear ambazo ndio uchawi wa forex.



Hivi unajua forex ni Biashara ya Bank???? ...... Nitakuja
Mkuu kuna uwezekano nikajifunza forex mwenyewe online mpk nikaanza kutrade bila kuhudhuria misemina ya wabongowezi??? Pia wapi hasa nianze nimesoma introduction to forex nikaambulia kujifunza some terms kidogo.??
 
Forex trading imekuwa janga, especially kwa wale waliopigwa msasa wa less than 10 days wakiaminishwa hii ni "get rich quick deal". Mnaojipanga kuwapiga tena hebu wapeni muda kidogo waponye maumivu na wajipange upya.
 
Ndio yawezekana.
Tangu jana nimeanza kupiga jaramba kutafuta knowledge ya hii forexpesa, sitaki kusikia habari za kuambiwaambiwa nataka nijifunze nikifikia hatua ya kujua viashiria kiasi fulani bila kuambiwa na mtu naanza kutrade.
 
Forex mm sihitaji inipe utajir ,, nahitaji inisaidie kupata hela ya mboga tu ili maisha yaende , inabd tuamini utajiri nao ni karama inayotoka kwa Mwenyezi Mungu , so km hujapewa hiyo karama hata ufanye bzness gan huwez kuwa tajiri utaishia kupata hela ya mboga tu ...
Piga kazi kwa nguvu zote, tumia atleast kijiuwezo chako cha akili kupambana na mazingira yoyote utakuwa tajiri.
 
Tangu jana nimeanza kupiga jaramba kutafuta knowledge ya hii forexpesa, sitaki kusikia habari za kuambiwaambiwa nataka nijifunze nikifikia hatua ya kujua viashiria kiasi fulani bila kuambiwa na mtu naanza kutrade.
Site bora ya kuanza nayo ni hii: School of Pipsology
Iwapo kuna kipengele kinakuwa hakieleweki, unaingia youtube kupata ufafanuzi zaidi.
 
Forex mm sihitaji inipe utajir ,, nahitaji inisaidie kupata hela ya mboga tu ili maisha yaende , inabd tuamini utajiri nao ni karama inayotoka kwa Mwenyezi Mungu , so km hujapewa hiyo karama hata ufanye bzness gan huwez kuwa tajiri utaishia kupata hela ya mboga tu ...

kwani pesa ya mboga uayoizunguzia sio karama, jitume mungu atapitisha njia zake umoumo achana na kauli za kimaskini
 
Mkuu kuna uwezekano nikajifunza forex mwenyewe online mpk nikaanza kutrade bila kuhudhuria misemina ya wabongowezi??? Pia wapi hasa nianze nimesoma introduction to forex nikaambulia kujifunza some terms kidogo.??
go and search for

babypips.com

Utaipata shule ya Fx kuanzia kindergarten mpka chuo Kikuu!!
Hakikisha ume soma course nzima
 
Desturi yangu ni moja UKIJA KISHARI NAKUJA KISHARI,UKIJA KIUPOLE NAKUJA KIUPOLE.

Sasa kwasababu umeacha hoja na kuweka mipasho kama ya Isha Mashauzi ngoja nikubutue juu kwa juu kipigo cha mbwa koko ili Maji uyaite MMA.


Hivi kwenye uzi wako kuna sehemu umemtaja Soros? Nyie ndio wanaume mahanithi haiwezekani ujitape kuwa ulitaja kitu ambacho kunzia mwanzo mpaka mwisho wa uzi wako hukutaja. Mwanaume Lijali amekuajia tayari umeanza kuloa Ute.


Sasa nimekutekenya swali dogo Nipe kazi ya Stop Loss umeanza umeanza kutokwa povu kama mama mwenyenyumba anaedaiwa hela ya vicoba. Umeulizwa lete kazi ya stop loss na kazi zake huna majibu, mwanaizaya wewe.




Umeishia kuniletea Wasifu wa George Soros wakati mwanume ninao. Ulivyokuwa huna aibu na mshipa wa soni umeshaubakiza Muhimbili ulisema hakuna Billionaires wa forex, nimekuwekea orodha ya Wakina George Soros unaleta porojo zako, Sasa niambie hao niliokuwekea kam sio forex traders ni wacheza mieleka au Pool table????.



NB. Ngoja niishie hapa sioni sababu ya kuendeleza mijadala na mtu mwenye dozi za milembe. Ila siku nyingine jitahidi kuwa na nidhamu. Sasa ninakusubiri ili uje kujibu kijinga jinga ili nikulipue mpaka ujifunze kuheshimu Hizi ID
Bado sijakuondolea sifa ya kuwa mtoto.. Na siwez kujibizana na mitoto kama wewe mimba zilizotungwa vichakani najua watoto wa vichakani mna degree za matusi maana zile sperm za dingi ziliingia mchanga.. chezea mapenzi yote sio ya vichakani... period
 
Back
Top Bottom