Elevation

Unajua kuna ideologies mbili ambazo wanawake bado hamjachagua moja for once amd for all, ndio sababu inayoleta utata linapokuja suala la nani anachangia nini au anapaswa kuchangia. Ideologies zenyewe ni patriarchy na feminism.

Katika patriarchy tuna-assume kwamba mwanaume ndie anapewa fursa zote, kwa maana hiyo atawajibika kubeba jukumu lote la protection and provision kwa mwanamke. Sasa hapa mchango wa mwanaume ni tangiable yaani vitu ambavyo vinaonekana kama hela, assets n.k, na mchango wa mwanamke ni intangible mfano emotional support, sala, peace of mind n.k

Katika feminism tuna-assume mwanaume na mwanamke wote wanapewa fursa sawa. Kwa maana hiyo kila mmoja atatakiwa kuja mezani na tangiable values kama hela na assets.

Mgongano wa "what do you bring o the table? ". Unasababishwa na wanawake kutaka muendelee juingia kwenye mahusiano na intangible contributions kama sala,emotional suport, wakati mfumo wa maisha ya kisasa mnahitajika nanyi kuja na tangiable values za hela na assets maana mmepewa access za elimu na ajira kama mwanaume.

Kwaiyo likija suala la nani anatoa nini ni vyema kubaki kwenye identical standard moja. Kama mwanamke unatoa intangible value basi na mwanaume atoe intangible value, na kama mwanaume anatakiwa kutoa tangiable value basi na mwanamke atoe tangible value. Kutaka mwanaume aje kwenye mahusiano na tangiable halafu mwanamke aje na intangible value hapo ndipo inaibuka ile assertions ya vijana kwamba "wanawake wote wanajiuza, wametofautiana mbinu tu"

Shida yako kubwa ni bado haukubaliani na usawa wa kijinsia kwenye provision na kulipa bill. Ndio maana unahama hama kwenye msingi wa kujenga point. Leo utatumia patriachy point of view kesho utatumia feminism point of view kulingana na masilahi yapo upande upi. Kama mwanaume anatakiwa kuja kwenye mahusiano na tangiable value mfano hela na mali basi na mwanamke pia aje na hizo tangiable values. Kama mchango wa mwanamke ni intangible values mfano prayers, peace of mind basi na mwanaume pia achangie hizo intangible values. Mambo hayatakua mengi.
 
Sasa mbona unatupigia makelele kila siku
Hakuna popote nilipokufata kukupigia makelele. Infact hata username yako haipo kwenye kumbukumbu zangu, ni wewe ndie umekuja kwenye thread yangu ambayo ungeweza kuipuuzia tu. .
 
Hakuna popote nilipokufata kukupigia makelele. Infact hata username yako haipo kwenye kumbukumbu zangu, ni wewe ndie umekuja kwenye thread yangu ambayo ungeweza kuipuuzia tu. .
Umesoma hiyo quote ilipotokea au umekurupuka kama kojo la kwanza!!!
Watangazie wasomaji wako wasiwe wananiita ita kwenye kelele zako,
Halafu unapoleta pumba zako humu huna mamlaka ya nani achangie na nani asichangie,

Wanaume wanalinda mali wewe upo kulinda "thread yako",,

endelea kubwata
 

Nikisoma inputs kama hizi👆👆, often najiuliza is it rage bait au ni pure ignorance?

For the sake of the argument acha tufocus kwenye jamii ya mfumo dume (patriarchal society) kipindi cha zamani.


Naona umejenga hoja yako kwenye vitu vyepesi na rahisi kudispute kama prayers na advice na kuacha the main contrubutions za mwanamke kwenye mahusiano na familia ambazo zinamu-elevate na kumnufaisha mwanaume na ni most valuable and tangible.
  • Mama na mwanamke ndiye alikua anatengeneza workforce of the household kupitia kubeba ujauzito na kuzaa watoto. Wanaume walikua wanaoa wake wengi ili kupata watoto wengi ambao watakua nguvu kazi ya kaya. Na mwanamke ndiye anayeendeleza kizazi/ukoo wa mwanaume kwa kumzalia watoto.

  • Mama / mwanamke ndiye alikua ana jukumu la malezi na kuwa-nurture watoto nyumbani mpaka watakapoweza kuanza kufanya kazi. Hao watoto ndiyo walikua wazalishaji mali wakubwa wanaotengeneza au kuongeza assets za familia au ukoo kwa kushirikiana na baba yao.

  • Watoto wa kike / wasichana waliozaliwa kwenye household waliongeza mali / utajiri wa familia kupitia dowry pale walipoolewa.

  • Mama na mwanamke ndiye alikua anafanya domestic work zote (kama ulimaji wa mboga mboga kwa ajili ya chakula, kupika na kupeleka chakula shambani, maji, kuni etc. ) ili kuhakikisha baba / wanaume wanaweza kufanya shughuli za uzalishaji mali.

    Hizo ni baadhi ya contributions ambazo ni tangible na quantifiable za mfumo dume huko zamani, baadhi ya mambo yamebadilika sasa ila manufaa kwa mwanaume bado yapo pale pale. I'm curious how did you come to a conclusion kwamba kwenye patriachal society mchango wa mwanamke ni intangible?


    Cc: ERoni , binti kiziwi
 
Mwanamke anaweza kuwa wako kwa muda Fulani mfano miaka 2 ila baada ya hapo ukishindwa kumeet needs zake huwa mapenzi yake kwako huisha na uhamisha hisia kwa mtu mwingine. Nikisema needs zake simaanishi pesa pekee Kuna kumpa muda wako, kumjali, kuthamini na kumridhisha kitandani lazima viwili Kati ya hivyo uwe navyo kumantain penzi
 
Ni kweli mkuu hujakosea kabisa
 
Tunaoffer vitu vingi sana kuwa na mwanamke kuna amani hasa kama mwanaume umependwa

Ukiwa na gundu utaona wanawake kama tunaumiza hivi au hatufai ilaukweli sisi ni kiungo.muhimu sana kwenu japo tuna mapungufu yetu
Kuna vitu huwa mna offer ila sisi wanaume wengi tunashindwa kujua kitu kimoja na ndio maana huu mjadala unakuwa mkubwa wakati ni mfupi hiko hivi Mwanamke akikupenda kwa dhati ana vitu vingi vya kuoffer juu yako Kwanza ana offer muda wake, hisia, huruma,advice,physical accountability mfano domestic affairs na Kuna wakati mwingine hela kama mwanaume akikwama ila mwanaume akikutana na mwanamke ambaye Hana hisia naye kila rangi hautaacha kuona Sasa Natafuta Ajira aina hii ya wanawake mkikutana nao ndio mna generalized kuwa wanawake wote wako hivyo, Muhimu tunatakiwa tuwashauri wanaume wenzetu wawe na wanawake watakaowapenda ndio utafaidi mapenzi
 
Your brain is beautiful sis.

Humu wanawake wanaoweza kujadili hii mijadala na wakaweka nondo mezani kama hivi wapo wengi sana, kwasababu kwaasili JF ina brains , au used to have brains. Ila unajua kwanini hawaji hapa kujibu hizi mada? sababu it’s not worth their time. Wanawake ndio wajenzi wa familia, ukianza kumletea hizi blah blah kama za hii mada atakusonya apite hivi…..

Tumebaki sie tu kuwajibu na tumepewa lile jina maarufu “wanaopenda kubishana na wanaume “ 😀

At first hata mimi nilifikiri ni rage bait, lakini sio, hii ni movement/campaign … Rage bait zinafanyika katika mitandao ambayo creators wanapata faida wakikusanya views +likes + followers.
 
Leo njoo ufuturu kwangu 😀
Umemaliza yote
 
Honestly, huwa naziona sana hizi red-pill threads na nazi-ignore, it’s not worth my time. But nilivyoona hii response yake kwako akitumia patriarchal societies kama mfano wa ku-undermine contribution ya mama (mwanamke), I had to chime in.

I can’t fathom how some people can be this shallow, na it’s surreal kwangu ku-realize siyo rage bait, ni uhalisia kwamba they truly believe in these ideologies!
 
Kwaiyo unatakaje, mwanaume abebe mimba, anyonyeshe, atembee barabarani amebeba mtoto kwenye mbeleko?

Suala la mwanamke kuwa elevated kiuchumi na mwanaume katika zama hizi za usawa wa kijinsia halina mantiki tena, kwa sababu mwanaume na mwanamke wote wamepewa fursa sawa.

Wewe umetumia kigezo cha mwanamke kubeba mimba kama uhalali wa kupata elevation kutoka kwa mwanaume. Sasa tulilete suala la kubeba mimba kwenye usawa wa kijinsia. Unafikiri suala hilo linakua applicable vipi? na mwanaume abebe mimba?

Kwamba mke na mume wakubaliane mimba ya mtoto wa kwanza anabeba mke, mimba ya mtoto wa pili anabeba mume au mume aebe mimba miezi 4.5 na mke miezi 4.5?

Hauwezi kutumia hizo bialogical factors kama silaha ya kujilinda kwa sababu hakuna namna nyingine zaidi ya hiyo. Bill ni bill, mimba ni mimba, ni mambo mawili ambayo hayaingiliani. Kwahiyo ikija bill changia kwa scale ya kipato chako, na wewe ukioata mimba mumeo atatoa ushitikiano kwa kadri uwezo wake kibinadamu unavyoruhusu
 
Suala la mwanaume na mwanamke kupendana limekaa ki-fantasy zaidi. It's very rare devine connection iwakutanishe watu wawili kwenye hii dunia iliyojaa billions of people. Vilevile upendo sio eternity, kwamba unadumu milele. Kwahiyo ni muhimu kuwasisitiza vijana wapende kwa mkakati kuliko kuwakililisha hekaya za true love, soul mates na fantasy zingine
 
Awa viumbe dadeki wanakupiga tukio muda wowote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…