Electronic

zakayohabeli

Member
Aug 14, 2019
58
24
HABARI NJEMA KWA WOTE WANAOHITAJI KUJIFUNZA ELECTRONICS

Najua kuna watu wengi wanapenda kujifunza Electronics designing; wale walio choka ku-copy na ku-paste na hivyo wangependa wao wenyewe wabuni vya kwao.

Ikumbukwe kuwa vifaa vya ki-electronic vinavyotumika kutengeneza vyombo ya ki-electronic kama vile Transistors,capacitors,resistors,diodes etc.vinaweza vikaunda kitu chochote unacho kitaka Kutegemeana na maamuzi yako,mfano unaweza kutumia vifaa hivyo kuunda Tv,Radio,King'amuzi,Booster,Home theatre,Simu,Computer,n.k.
Mfano; computer imetengenezwa na vifaa hivyo hivyo,na Radio imetengenezwa na vifaa hivyo hivyo.Tofauti inakuja namna ambavyo vimeunganishwa kutegemeana na lengo la muundaji mwenyewe.

Ifahamike kuwa Hakuna tofauti kati ya vifaa vinavyotumika kuunda vyombo vya kidigitali au vile vya kianalogia.Vifaa kama vile Transistors,capacitors,resistors,diodes etc ndio msingi mkuu wa vyombo vyote vya kielectronic(digital and Analog).Kinacho fanyika hapo ni hesabu kutegemeana na matumizi husika.

Tambua kwamba nirahisi sana kuwa fundi wa ku-repair vifaa vya kielectronic ila ni vigumu kwa wewe kuwa mbunifu wa vifaa vya kielectronic kama hujui misingi ya ufanyaji kazi wa vifaa mama vya kielectronic kama vile Transistors,capacitors,resistors,diodes, tc.
Kamwe haiwezekani ukaamka asubuhi na kuanza ku-design project kubwa kama vile kuunda Tv,King'amuzi,mixer,booster,crossover,home theatre au computer kama hukuwahi kuanza katika project ndogo.

Umeme unasheria na kanuni zake ni lazima uzifahamu na kuzizingatia katika maisha yako yote katika ulimwengu wa kielectronic.

MBUNIFU WA VIFAA VYA KIELECTRONICS AZINGATIE HAYA

1.Ajue nguzo kuu za hesabu kama vile kujumlisha,kutoa,kugawanya,kuzidisha n.k
2.Awe mbunifu na ajenge mawazo tofauti tofauti juu ya vitu tofauti tofauti na atafute ufumbuzi kupitia taaluma yake ya kielectronics.
3.Asiwe mtu wa kukata tamaa.
4.Ubunifu wa vifaa vya umeme ni tofauti na ubunifu kama vile program za computer,Hivyo basi mbunifu lazima azingatie sheria za umeme kwa usalama wake na usalama wa vifaa vyake,ili kuepuka hasara zisizo za msingi.
5.Apende electronics.
6.Asiwe mzembe,lazma awe makini na mwenye kutia bidii.

FAIDA ZA KUWA MBUNIFU WA KIELECTRONICS.

1.Kujipatia ajira,unaweza uka-design kitu ambacho jamii ikawa inakihitaji sana na ikawezekana kifaa hicho hata dukani hakuna,au kama kipo ni ghali kuliko cha kwako,hivyo utapata soko lisilo na mshindani
2.Kuunda vitu vyako mwenyewe kwa matumizi yako mwenyewe.Kama vile security systems, music systems ,electrical energy power,operating systems mbalimbali n.k
3.Kujiongezea taaluma na maalifa zaidi.

MAFUNZO YA KIELECTONIC KWA NJIA YA MTANDAO

Sitta Electronics tumekuwa tukitoa mafunzo kwa njia ya ana kwa ana. kuna watu wengi wanapenda kujifunza ila wapo mbali na Dar au wanakosa muda wa kuingia darasani.Hivyo tumeamua kuanzisha mafunzo ya kielectronic kwa njia ya mtandao ili tuweze kumfikia kila mmoja.Ili kile tulicho nacho na wengine wapate.
Mafunzo tutakayo kuwa tunafundisha ni ya ubunifu (Electronics designing) tu! Hatuta fundisha ufundi wa ku-repair kitu chochote ila tutafundisha elimu yaku-design kitu chochote!
Lengo letu ni kuibua vipaji vya wabunifu wa vifaa vya kielectronic na sio wale wanao fanya marekebisho ya vile vilivyo tengenezwa na vikaharibika.
Lengo letu jingine ni kuunda jamii ya wabunifu na sio warekebishaji tu! Ambapo kwa pamoja tunaweza tukabadilishana mawazo na kuunda vitu mbalimbali.
Mafuzo yetu tutayatoa kwa lugha ya Kiswahili kadri inavyo wezekana,ingawaje kuna baadhi ya misamiati itatolewa kwa lugha ya kiingereza kutokana na ukosefu wa misamiati ya namna hiyo katika lugha yetu ya Kiswahili.

Mafunzo yatagawanyika katika makundi matatu ambayo ni;-

a)Wasio na msingi wa umeme na electronic kabisa
b)Walio na msingi wa umeme na electronic katika kiwango cha kati
c)Walio na msingi thabiti wa umeme na electronic

Kila atakayetaka kujifuza lazima anunue vifaa vifuatavyo
1:Multmeter
2:Soldiering gun
3:Soldering wire
4:pcb circuit board
5:Nose pliase
6:Cuter pliase

Kwa wale ambao wako tayari kuingia katika ulimwengu wa Electronics tunawakaribisha sana kwa gharama ya 2000/= tu ambayo mwanafunzi atalipia kila anapoingia darasani kwa siku, vifaa vya practical mwanafunzi atajigharamia na chombo atakachounda kitakuwa chake atakuwa huru kukiuza ama kuondoka nacho.

Mafunzo yatajikita katika ubunifu wa vifaa vya analogia na kidigitali, unaweza kutupigia +255 766 102 710 au +255 655 102 610. Pia unaweza tembelea site yetu facebook, Sitta Electronics-Tanzania. au ofisi yetu Mbezi-Goba Dar es salaam jirani na zahanati ya Goba.




Pia kwa njia ya mtandao kwa atakae hitaji 0656402189
IMG-20191026-WA0005.jpeg
 
Project ni nzuri ila kuwa na ukurasa wa facebook pekee haitoshi. I suggest you open a website which will also be used to conduct E-learning.
 
Naitaji kuongeza ujuzi, nipo Morogoro..
Karibu sana tupo dsm sehemo moja wanaiita goba yaan karibu na zahanati ya goba

Karibu sana pia tunafundisha kwa njia ya mtandao ila inahitaji umakin wako wa hali ya juu ili uelewe zaid
Kwa njia ya mtandao yaan WhatsApp tuchek 0656402189

Karibu sana
 
Naitaji kuongeza ujuzi, nipo Morogoro..
Muogozo kwa njia ya whatsapp

Mafunzo kwa wanahitaji
1) mafunzo yanaanza saa3 asubuhi mwisho saa6 mchana

2) mafunzo yatakayotolewa ni electronic kwa ujumla na sio ufundi wa kurepair

3) pia wewe kama mwanafunzi utapaswa kulipia 2000 kwa siku kwaajili ya bondo la mwalimu na mda atakaotumia kutoa mafunzo

4)) wanakaribishwa wote yaan wanaofaham kiasi na wasiofaham kabisa

Asanten
 
Back
Top Bottom