Kijana niliyeamua kujiajiri

Kijana niliyeamua kujiajiri

Steve96

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2022
Posts
9,559
Reaction score
1,264
Asanteni sana ndgu zangu, nimeona nitumie fursa hii kuwashukuru nadhani mnanikumbuka, sio kwamba nimefanikiwa ila nimekuja kutoa mrejesho wa nn nalifanya kwa sasa ili kama hata nitapata watu wawili watatu wanisupport kwenye kazi yangu ya sasa.

Mimi nauza vifaa vya electronics vya majumbani na ofisini.

Napatikana Kariakoo mtaa wa Ndanda na Magira.

NAKUUZIA BIDHAA YYTE KWA BEI YA STORE.

NIPIGIE 0620558696 AU 0713491359 wasap.

Asanteni na karibuni
 
KWAN PICHA NDIO TIKETI YA KUONESHA MM DALALI AU LAH?
Nimegundua una lugha kali sana kwa baadhi ya wateja wako, nimeingia kwenye ule uzi wako wa kununua kwa bei ya store nimeangalia unavyojibizana na wateja nikagundua sio sawa, jirekebishe customer care utafika mbali mkuu

Sent from my M2101K6G using JamiiForums mobile app
 
Karbu sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom