Electro Technical Officer course DMI

moxec

Senior Member
Sep 22, 2016
191
205
Naomba kujuzwa kuhusu hii course ya electro technical officer pale DMI entry requirement ni ipi na ada huwa ni shilingi ngapi. Kwa mwenye ufahamu kuhusu hili naomba anijuze, now sipo dar so nashindwa kwenda kuulizia direct chuoni
 
Back
Top Bottom