Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 4,124
- 6,141
Nikiwa Rais wa Tanzania kutatengenezwa electric motor ambazo zitakuwa zina-speed zaidi ya mwanga na zitakuwa zinatumiwa na rockets
Ni ukweli kwamba technology ya sasa ya electric motor haiwezi kufikia speed ya mwanga, as Technology grow nakuhakikishia electric motor ina-uwezo wa kuwa na speed zaidi ya mwanga
Tunafahamua kabla ya hii humanoid project kulikuwa na project iliyotutangulia kwenye hii project walikuwa na technologies kubwa sana moja wapo ni uwezo wa kusafiri kutoka Mercury mpaka Pluto ndani ya mda mfupi
Lengo ni kurudisha hii technologies iliyokuwepo kabla ya humanoid project