TONY MTAKAYOTE
Senior Member
- Jan 24, 2013
- 150
- 69
Kiukweli hizi fani zinanisumbua.
Kuna Electrical engineering kivyake, vilevile kuna Electronics Engineering, pia ipo nyingine combined (ELECTRICAL & ELECTRONICS ENGINEERING)
Shida ni kwamba nashindwa kuzitofautisha in term of occupations and studying time and the bulkness au wingi wa vitu vya kusoma.
je mtu mwenye combined (E&E) NA ambaye amechukua mojawapo wanaweza kufanya kazi pamoja ?
Ni yupi mwenye nafasi kubwa ya kupata ajira..?
Je ni bora kuchukua mojawapo au combined (E&E)?
Vilevile kama una maelezo ya ziada unaweza kunipatia pia.
Natanguliza shukrani za dhati...